PhD ni Shahada ya Uzamivu, yaani mtu anabobea au kuzamia katika Kaeneo fulani kidogo kataaluma take na wanaitwa madaktari wa falsafa. Uprofesa ni daraja la juu la wanataaluma, kuanzia mhadhiri mzaidizi, hadi profesa. Na vyeo hivyo vinapanda kwa kusomea na kufanya machapisho kwenye majarida ya kisayansi
Umeliweka vizuri sana mkuu! Bravo! Kwa kuongezea kibongo ukishakuwa na PHD ili uwe Prof kuna number of research and publications unatakiwa uwe nazo na kwa chuo baada ya kuwa na phd unakuwa associate prof then prof. Pia kuna honorary phd ndio zile za JK na Marehemu Mengi...uwe una mchango fulani katika jamii...hizi ni phd za heshma na sio za kusoma.Obama hajasoma level ya Ph.D, ila technically ni Juris Doctor kwa sababu ana degree ya sheria. Degree ya Sheria Marekani ni Juris Doctor (J.D)Kwa hiyo angependa maujiko angejiita Dr. Obama.
Nchi kama Marekani, si ma doctor wote wana Ph.D. Kunda ma doctor wengine wana Ed.D (Doctor of Education) au Psy.D (Doctor of Psychology)
Jamii zilizoendelea kielimu, kama mtu hayupo katika kazi za kufundisha au research, kujiita Dr. inaonekana ulimbukeni.
Watu kama Waziri wa Ulinzi wa zamani wa Marekani Robert Gates, ana Ph.D, lakini alikuwa anaitwa tu Defense Secretary, Robert Gates. Kwa sababu mtu kuwa na doctorate si kitu cha ajabu.
Watu wengine ambao wana Ph.D lakini mara nyingi husikii wakiitwa "Dr" ni Condoleeza Rice na Susan Rice.
Kuhusu tofauti ya Dr na Professor, inategemea na mfumo wa nchi.
Kwa Marekani, Professor ni mtu anayefundisha chuo Kikuu tu. Nakumbuka wakati naanza chuo, kuna Professor mmoja tulimuita Dr., tukifikiri ni Dr., akatusahihisha kwamba yeye hajafanya doctorate degree yake bado, kwa hiyo tusimuite Dr. yeye ni Profesa tu.
Lakini kwa Tanzania, nilivyoona, ni kwamba, U Profesa ni cheo fulani, kwa hiyo kuna watu wengi wenye doctorate zao ni ma Doctor so and so, lakini hawajafikia cheo cha u Profesa.
Philosophy DedicatedPHD maana yake ni nini? Watu wanakwepa heading!
note: kikwete alitunuikiwa tu Udaktari wa heshima (honourable doctor) kama alivyotunukiwa Kanye West.Swali niliokuwa najiuliza mfano Obama alikuwa na PHD lakini sikuwahi kuona au kusikia jina lake likianzia Dr kama ilivyo kwa Kikwete,Magufuli etc, ambao majina yao yanaanzaga na Dr
Matango Pori kabisa haya unajiamini nini kudanganya?Nyerere alitunukuwa PhD nyingi tu za heshima na vyuo mbalimbali lkn sikuwahi msikia akiitwa doctor Nyerere. Hii doctor kwa viongozi ilipamba moto sana enzi za Kikwete tena ilipambishwa moto na watu wa chama tawala, hao si unajua tena kwa kusifia mtu akiwa Ikuku unaweza dhani ktk nchi hakuna anayeweza kuja kuongoza zaidi yake. Katika harakati za uchaguzi fulani kulikuwa na professor Lipumba, Doctor Slaa na ndugu Kikwete. Kuvuta mfanano wa wagombea zikapekuliwa degree za kutunukiwa za Kikwete ghafla zikaanza kupaishwa naye akaanza kuitwa doctor Kikwete. Ameondoka Ikulu hii Doctor naona kama inasahaulika ktk kum-address. Wamarekani hawahitaji hiyo sifa kuonekana kiongozi anajua ndo maana akina Obama wahawakuhitaji kuitwa madoctor
Huku kwetu ni sifa.. watu hupenda kujulikana/kujisikia kwa level ya elimu yake. Wenzetu hujitambulisha kiwango cha elimu yake pale tu inapohitajika, sisi ni sehemu ya jina..Swali niliokuwa najiuliza mfano Obama alikuwa na PHD lakini sikuwahi kuona au kusikia jina lake likianzia Dr kama ilivyo kwa Kikwete,Magufuli etc, ambao majina yao yanaanzaga na Dr
Alafu wanaopenda kushoboka kuitwa Ma-Dr wengi huwa ni vilaza...Obama hajasoma level ya Ph.D, ila technically ni Juris Doctor kwa sababu ana degree ya sheria. Degree ya Sheria Marekani ni Juris Doctor (J.D)Kwa hiyo angependa maujiko angejiita Dr. Obama.
Nchi kama Marekani, si ma doctor wote wana Ph.D. Kunda ma doctor wengine wana Ed.D (Doctor of Education) au Psy.D (Doctor of Psychology)
Jamii zilizoendelea kielimu, kama mtu hayupo katika kazi za kufundisha au research, kujiita Dr. inaonekana ulimbukeni.
Watu kama Waziri wa Ulinzi wa zamani wa Marekani Robert Gates, ana Ph.D, lakini alikuwa anaitwa tu Defense Secretary, Robert Gates. Kwa sababu mtu kuwa na doctorate si kitu cha ajabu.
Watu wengine ambao wana Ph.D lakini mara nyingi husikii wakiitwa "Dr" ni Condoleeza Rice na Susan Rice.
Kuhusu tofauti ya Dr na Professor, inategemea na mfumo wa nchi.
Kwa Marekani, Professor ni mtu anayefundisha chuo Kikuu tu. Nakumbuka wakati naanza chuo, kuna Professor mmoja tulimuita Dr., tukifikiri ni Dr., akatusahihisha kwamba yeye hajafanya doctorate degree yake bado, kwa hiyo tusimuite Dr. yeye ni Profesa tu.
Lakini kwa Tanzania, nilivyoona, ni kwamba, U Profesa ni cheo fulani, kwa hiyo kuna watu wengi wenye doctorate zao ni ma Doctor so and so, lakini hawajafikia cheo cha u Profesa.
Nimesema vigezo utofautiana kutoka taasisi moja kwenda nyingine. Mfano SUA, Makelele, na UDSM vina criteria tofauti.Tafiti ngapi zina mfanya awe professor kamili, maana bongo kuna Associate professor na Professor sijui kama nazo ni tofauti?
Si sahihi, kuna vigezo rasmi vya mtu kuwa Dr. wa elimu, na pia kufikia rank ya uprofessor.Umeliweka vizuri sana mkuu! Bravo! Kwa kuongezea kibongo ukishakuwa na PHD ili uwe Prof kuna number of research and publications unatakiwa uwe nazo na kwa chuo baada ya kuwa na phd unakuwa associate prof then prof. Pia kuna honorary phd ndio zile za JK na Marehemu Mengi...uwe una mchango fulani katika jamii...hizi ni phd za heshma na sio za kusoma.
Nimekusoma vizuri.
Nilichokielewa zaidi ni kwamba Kuna tofauti Kati ya nchi na nchi.
Sema Tanzania Kuna ka harufu kakupenda maujiko.
Muda wa kazi unanipangia wewe?Kiranga kichwa kiko vizuri. Ila mbona huu muda wa kazi uko jf?
Lipumba alifanya utafiti gani mkuu.professor niliwahi kusikia ni yule ambae amefanya utafiti UNIQUE sana juu ya jambo fulani, ambalo halikuwahi kufanywa hapo nyuma sana
Na amevumbua jambo ambalo lililkuwa likisumbua sana watu kwa kulifanyia utafiti wa kina
mi najua kidoogo hivyo kuhusu Professor
Petticoat hanging down! Shumizi imezidi sketi.Phd( People who Holds Degrees)...... Just jokes
Nimekuelewa, but kinachonitatiza nimetolea mfano Obama ana PHD lakini sikuwahi kusikia au kusoma akiitwa Doctor.
Utofauti upo wapi?
Hahaha kwahiyo uprofessor ni tafiti siyo PhD au nakuelewa ndivyo sivyo?! Au ndiyo doctorate degree?! Hivyo PhD holder ni sawa kujiita professor au Doctor?!Nimesema vigezo utofautiana kutoka taasisi moja kwenda nyingine. Mfano SUA, Makelele, na UDSM vina criteria tofauti.
Kikubwa kila publication ina point zake kutegemeana kama ww ni main author ama second. Pia umepublish kwenye journal yenye uzito kiasi gani.
Kikubwa kuna vigezo vya point kufikiwa ili uanzie associate kabla ya kuwa complete professor.
Doctor utamkuta anapiga watu sindano kwa zahanati.
Professor ni kame vile maji marefu yaani mganga wa jadi.
Kwa ujumla prof na doctor wote ni waganga sema mmoja anatibu vidonda mwingine anatoa majini

hatari kwelikweli!!!!
ANHAA SAWA MKUU....PAMBANA AISEEMi ndo nausaka uprofesa sa hivi mkuu acha ni habari nyingine
Likizo ndo imeisha yaani napotea kama miezi tena humu
PhD ni Shahada ya Uzamivu, yaani mtu anabobea au kuzamia katika Kaeneo fulani kidogo kataaluma take na wanaitwa madaktari wa falsafa. Uprofesa ni daraja la juu la wanataaluma, kuanzia mhadhiri mzaidizi, hadi profesa. Na vyeo hivyo vinapanda kwa kusomea na kufanya machapisho kwenye majarida ya kisayansi
Sio sifa mkuu, mtu amesotea PhD yake kwa nini asiitwe Dr? Ni stahili yake kabisa na huko nje wanataaluma wanapeana heshima zao, na wenzetu kama ni Prof ataanza kuandika Prof.Dr xxxyHii inasound kuwa na ukweli fulani.Naweza kukubaliana na hiyo sababu.
Kumbee ni sisi waafrika na masifa yetu