and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,116
Tufahamishe elimu yako kwanza ndo tujadiliKwa mfano bongo full professor ni kama nani mkuu
Tufahamishe elimu yako kwanza ndo tujadiliKwa mfano bongo full professor ni kama nani mkuu
professor niliwahi kusikia ni yule ambae amefanya utafiti UNIQUE sana juu ya jambo fulani, ambalo halikuwahi kufanywa hapo nyuma sana
Na amevumbua jambo ambalo lililkuwa likisumbua sana watu kwa kulifanyia utafiti wa kina
mi najua kidoogo hivyo kuhusu Professor
UmewawezaDoctor utamkuta anapiga watu sindano kwa zahanati.
Professor ni kame vile maji marefu yaani mganga wa jadi.
Kwa ujumla prof na doctor wote ni waganga sema mmoja anatibu vidonda mwingine anatoa majini
Ni ulimbukeni wetu waAfrika, weupe hawana hii tabia wanatumia tu majina yao..sisi PhD holder usipoanza na dr. anaweza kukumaindi as if ndo jina lakeNimekuelewa, but kinachonitatiza nimetolea mfano Obama ana PHD lakini sikuwahi kusikia au kusoma akiitwa Doctor.
Utofauti upo wapi?
Hii siyo kwa Africa, maybe United Statespoint of interruption unaweza kuwa na masters ukiwa huna PhD na bado ukawa proffessor.
PhD ndio mtaaluma kuliko proffessor.Proffessor ni kufundisha chuo kikuu muda flani na ukaandika research paper nyingi.
Kuwa na PhD sio lazima ufundishe.
Kuna udr wa heshima ila hakuna uproffessor wa heshima lazima ushike chaki
Habari zenu wadau wa JF.
Hivi Ni vigezo gani hutumika mpaka mtu aitwe Proffesor au Doctor.Doctor ninayemzungumzia ni yule mwenye PHD sio hospitali.
Nimeuliza hivi kwa sababu, Tanzania mtu yeyote mwenye shahada ya uzamivu huitwa Doctor(Dr).
Lakini nimesoma biography ya Barrack Obama na Hillary Clinton na nikagundua wamesoma mpaka level ya PHD lakini sijawahi kusikia wanaitwa Doctor tofauti na hapa kwetu.
Mfano rais wetu John Pombe Magufuli ana PHD anaitwa Doctor.Obama pia ana PHD na aliwahi kufundisha Chuo kikuu ila sikuwahi kusikia akiitwa Doctor au Proffesor.
Hii imekaaje ndugu wa JF naomba kuelimishwa.
Mimi si mswahili kwasababu sikai uswahiliniWaswahili wanapenda sifa,,naweza kusema "kipofu kaona" ndio cc waswahili.
PhD ni kigezo no1 then hivyo vya publications n.k hufuata, fuatilia replies zangu huko juu nilimweleza mleta mada tofauti zake.Hahaha kwahiyo uprofessor ni tafiti siyo PhD au nakuelewa ndivyo sivyo?! Au ndiyo doctorate degree?! Hivyo PhD holder ni sawa kujiita professor au Doctor?!
Hizo ni tabia binafsi za mtu, hazihusiani na elimu yake. Watu wa hivi kila mahala wapo.Ila kwa Tanzania ni ulimbukeni wa elimu. Mfano mzuri angalia hata kwenye vyuo vyetu hususani Udsm, wanajiona ni special sana. Mwengine ukimsalimia pasipo kumuita doctor au Prof. haitiki.
kujifanya mjingaLipumba alifanya utafiti gani mkuu.
Angel Markel waziri mkuu wa ujerumani ana PhD na Ni profesa Lakini hupenda tu kuitwa Agel Markel huku kwetu nchi za kiafrika mbwembwe nyingi.Swali niliokuwa najiuliza mfano Obama alikuwa na PHD lakini sikuwahi kuona au kusikia jina lake likianzia Dr kama ilivyo kwa Kikwete,Magufuli etc, ambao majina yao yanaanzaga na Dr
hizo ni level za juu zaidi za upumbavu, ukifika level hizo unakuwa kama bamia iliyokomaa haifai kwa matumizi.Habari zenu wadau wa JF.
Hivi Ni vigezo gani hutumika mpaka mtu aitwe Proffesor au Doctor.Doctor ninayemzungumzia ni yule mwenye PHD sio hospitali.
Nimeuliza hivi kwa sababu, Tanzania mtu yeyote mwenye shahada ya uzamivu huitwa Doctor(Dr).
Lakini nimesoma biography ya Barrack Obama na Hillary Clinton na nikagundua wamesoma mpaka level ya PHD lakini sijawahi kusikia wanaitwa Doctor tofauti na hapa kwetu.
Mfano rais wetu John Pombe Magufuli ana PHD anaitwa Doctor.Obama pia ana PHD na aliwahi kufundisha Chuo kikuu ila sikuwahi kusikia akiitwa Doctor au Proffesor.
Hii imekaaje ndugu wa JF naomba kuelimishwa.
kama role model wako ni profesa Lipumba mbona easy tu.KAWAIDA TU MKUU
ILA TAMBUA KILA MTU ANAWEZA KUPATA PHD ila kuwa profesa ni mziki mwingine
Nyerere alitunukuwa PhD nyingi tu za heshima na vyuo mbalimbali lkn sikuwahi msikia akiitwa doctor Nyerere. Hii doctor kwa viongozi ilipamba moto sana enzi za Kikwete tena ilipambishwa moto na watu wa chama tawala, hao si unajua tena kwa kusifia mtu akiwa Ikuku unaweza dhani ktk nchi hakuna anayeweza kuja kuongoza zaidi yake. Katika harakati za uchaguzi fulani kulikuwa na professor Lipumba, Doctor Slaa na ndugu Kikwete. Kuvuta mfanano wa wagombea zikapekuliwa degree za kutunukiwa za Kikwete ghafla zikaanza kupaishwa naye akaanza kuitwa doctor Kikwete. Ameondoka Ikulu hii Doctor naona kama inasahaulika ktk kum-address. Wamarekani hawahitaji hiyo sifa kuonekana kiongozi anajua ndo maana akina Obama wahawakuhitaji kuitwa madoctor