Nashauri chama cha CDM kiondoe alama ya manati ''V'' kwenye bendera ya chama,kwani ni ishara ya fujo na vurugu...
Nimeamua kuwapa huu ushauri sababu wananchi wanatishika sana wakiona iyo alama ya manati na mkivaa yale magwanda yenu kama ya wahasi wa Congo ndio mnatishia amani kabisa mitaani...hii ni nchi ya amani,ivo si vyema mkawafanya raia wakaishi kwa wasiwasi sababu ya mikwara yenu.
Naimani ushauri wangu utafanyiwa kazi na wadau wa chama.

April 2012 members at work.
mtakimbia tu.
hapa ndo jamvini, kama Nape hajawaambia.
![]()
Hivi unadhani kuna mtu atakutongoza hapa JF! Sisi tuna wake wazuri zaidi yako. Achana na sisi, nenda Rozana, Buguruni, Magomeni, nk
Akimbii mtu hapa,mnafikiri mnavyotisha raia na 'manati' na makombati yenu,kila mtu anawaogopa!!
Muonekano wenu wa kihasi unawanyima amani wananchi.
yani nyie magwanda mnawaza ngono muda wote,ndio maana Slaa na Sugu wanakesi za kuiba wake za watu.
kijani mi naona ni tusi kwa mtanzania aiishio kwenye ukame