Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Kwangu mimi: We keep it within the party context. We cannot generalize. Nijuavyo mimi jinsi inavyotumika na CDM ni alama ya Vema au Victory. Otherwise, tutamsemeaje huyu Mhe Hayati Karume?

karume - vidole viwili na wafuasi.jpg
 

Attachments

  • karume na alama ya vidole viwili.jpg
    karume na alama ya vidole viwili.jpg
    62.4 KB · Views: 42
mbona mtoa mada hatokea tena, ooh freemasson cjui. acha kutumika wewe!ni bora anayetumiwa kinyume na maumbile bila kujua kuliko anayetumiwa na CCM huku akijua
 
Mimi ni mdau mkubwa wa siasa, kuna kitu kinanisumbua siku nyingi na ningependa kukijua maana watu wengi waniuliza lakini nimeshindwa kuwajibu, nakuombeni wana jamii mnisaidie maana ya vidole viwili vinavyooneshwa kwenye nembo ya chadema, na hii ni kwa nia nzuri tu.
 
Nadhani wakati mwingine si lazima uanzishe uzi,na si lazima kupost JF..hata ukisoma mawazo ya wengine kwa manufaa yako ni njema.Thread kama hizi zimeanzishwa mara nyingi sana hapa JF na kupata majibu na michango ya kina sana..tatizo letu watanzania ni wavivu kuchunguza na kutafuta...Ombi kwa Mods,kuna thread nyingine zinatujazia server na zinapoteza muda wa wasomaji..na hii ni moja wapo,kama ikiwezekana ziwe zinafutwa.
 
Back
Top Bottom