Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,611
- 868
jembe na nyundo alama ya wakulima na wafanyakazi utafananisha na 'manati' alama ya vurugu??
Be a great thinker mkuu.
Hayo manati unayoona wewe peke yako, V ni alama ya ushindi kama ule wa Arumeru na utakaokuja wa jimbo lolote lile Tanzania.