Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

mkuu juzi hapa nilikuwa mtaa flani,mara wakaja wanachadema wawili wamevaa magwanda yao uku wanamuita mwenzao 'kamanda kamanda kamanda' kulikuwa na watoto wanacheza wote wakakimbilia ndani uku wanalia kwa kuogopa vijamaa vinavyotisha.
Nawale waliomkimbia Wasira watoto walikuwa wanalia wanaita mama Sokwe wa kwenye TV amekuja huku waliangalia kile kipindi cha Gombe hifadhi ya Taifa kinachorushwa na TBC mara kwa mara.
 
Peace mamii HIYO ulitaka tuweke alama ya fuvu sasa mbona viongozi wenu wa magamba wanaikimbilia hiyo alama siunaona mnavyohamia CDM kwa fujo.

nani anakimbilia Cdm??
Usiamini kabisa mkuu,habari zinazoandikwa na 'mwanahalisi',tanzaniadaima na nipashe ayo ni magazeti ya chama.
 
hapa tumeishafika mkuu...na tutaendelea kuanika maovu yote ya cdm mpaka jamii iuone ukweli,maana mpo gizani hamuoni.
Umalaya ni mbaya sana hasa kwa wanawake kama wewe mnaokosa mpaka hela ya chakula mpaka mlete majungu humu ndio mlipwe ilimkale shame on you.
 
Nashauri chama cha CDM kiondoe alama ya manati ''V'' kwenye bendera ya chama,kwani ni ishara ya fujo na vurugu...

Nimeamua kuwapa huu ushauri sababu wananchi wanatishika sana wakiona iyo alama ya manati na mkivaa yale magwanda yenu kama ya wahasi wa Congo ndio mnatishia amani kabisa mitaani...hii ni nchi ya amani,ivo si vyema mkawafanya raia wakaishi kwa wasiwasi sababu ya mikwara yenu.

Naimani ushauri wangu utafanyiwa kazi na wadau wa chama.

piga makofi na vigelegele
 
WE NDIO KIAZI CHA KIKE KWELI.
ushauri unaacha kupeleka kwenye chama chako mahututi huko icu unahangaika na chama ilnalokuwa kila sekunde?

kamwulize faiza fox alipata kitu gani kueneza propaganda za kulipwa buku mbili huku?

NA WEWE TUNAKUHESABIA SIKU HUMU.
 
nani anakimbilia Cdm??
Usiamini kabisa mkuu,habari zinazoandikwa na 'mwanahalisi',tanzaniadaima na nipashe ayo ni magazeti ya chama.
Kama ilivyo kwa uhuru gazeti la udaku wa siasa mngekuwa wazuri wote yaani hakuna mafisadi CCM wote mngehamia CDM lakini yanayobaki huko ni makapi tu yaani ni majizi ya fedha za umma hayawezi kujichanganya na watu wa safi(CDM) wewe endelea kula hela za kifisadi kwa kazi za majungu unayoleta hapa.
 
itabidi na sisi tuanze kuzunguka mikoani kuwatuliza wananchi wasiogope vitisho vya CDM..
Maana wakileta fyoko kidogo tunamkabidhi kazi Mwema ndio ki boko yao,huwa wanakimbia na magwanda yao kama hawana akili nzuri.
 
judi WA kishua HALAFU UNAWAZA MANATI.... wakati V means VICTORY

LOL
 
njaa anayo Lissu aliyekuwa analia kama mtoto mdogo wakati hukumu yake inasomwa,akililia tumbo lake.
Usipo mtaja kiboko yenu magamba hupati usingi kidume cha shoka kinacho wasumbua wabunge wa magamba mpaka hawapati usingizi pamoja na speaker wenu wa NEC ya ccm Lissu hawapi usingizi bungeni mlitaka kutumia mahakama yenu kumuondoa mjengo sasa hesabuni maumivu mtabadili sana mawazili safari hii.
 
mkuu juzi hapa nilikuwa mtaa flani,mara wakaja wanachadema wawili wamevaa magwanda yao uku wanamuita mwenzao 'kamanda kamanda kamanda' kulikuwa na watoto wanacheza wote wakakimbilia ndani uku wanalia kwa kuogopa vijamaa vinavyotisha.

kwahiyo hao unaowazungumzia wanatosha kuwa sababu ya kutoa mawazo yako? Nafikiri kwasababu umeelewa maana ya hiyo Alama rudi kawaelimishe coz yawezekana hata wewe ulikuwa ujui maana yake.
 
...hii ni nchi ya amani,ivo si vyema mkawafanya raia wakaishi kwa wasiwasi sababu ya mikwara yenu.

Naimani ushauri wangu utafanyiwa kazi na wadau wa chama.
"hii ni chi ya amani"
Bila aibu huna.
 
itabidi na sisi tuanze kuzunguka mikoani kuwatuliza wananchi wasiogope vitisho vya CDM..
Maana wakileta fyoko kidogo tunamkabidhi kazi Mwema ndio ki boko yao,huwa wanakimbia na magwanda yao kama hawana akili nzuri.
Muulize mbuge wa Geita kilichomtokea juzi au muulize Kandoro kilicho mtokea Mbeya sasa anaiona mbeya chungu sisi tutawakabidhi magamba kwa nguvu ya umma vijana wa kazi wawa onyeshe adabu.
 
Kama ilivyo kwa uhuru gazeti la udaku wa siasa mngekuwa wazuri wote yaani hakuna mafisadi CCM wote mngehamia CDM lakini yanayobaki huko ni makapi tu yaani ni majizi ya fedha za umma hayawezi kujichanganya na watu wa safi(CDM) wewe endelea kula hela za kifisadi kwa kazi za majungu unayoleta hapa.

ha ha ha ha ha!nani kakwambia CDM kuna wasafi?
Mwambie mzee Edwin Mtei aludishe mashamba aliyowapora wananchi wa Arumeru,watu wanalia hawana mashamba ya kulima alafu yeye amejilimbikizia tena mengine ata hayalimi alafu anajifanya ana uchungu na watanzania...atawaibia mliogizani sio sisi.
 
Last edited by a moderator:
watu wanaofikiria na makalio wana tabu sana. Acha kuvuta Bangi wewe maana ushaanza kuchanganyikiwa mapema hata 2015 haijafika.
 
Kwa picha hii na alama ya vidole aliyoionyesha bwana huyu sijamuelewa vizuri, kuonyesha ushindi au ni ile alama ya chama chetu?

farid.JPG
 
Back
Top Bottom