Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Waungwana wanajf nawasalimu kwanza...mimi ni mwanachama mpya wa chadema lakini kuna vitu vikubwa viwili sivielewi ,
1-logo ya chadema ya vidole viwili ina maana gani?na nani aliamua iwekwe pale?

2-rangi katika bendera ya chadema ile blue,white na red zina mana gani?na kabla ya hapo walikuwa na rangi zipi ktk bendera yao.

Mkuu wa jamvi nawasilisha kwa uchambuzi yakinifu ndani ya jf.
 
Huu ni udhaifu wako wa kukurupuka kuwa mwanachama bila kuelewa mambo ya mwanzo ya msingi.umefuatanini Chadema kama hata hayo mambo madogo huyaelewi?
 
haya jibaba bonge nisaidie na ucje kuwa unajidai unaelewa kumbe ni mmoja wanaojidai wanajua kumbe hawajui,kama great thinker huna haja ya kusema yoote hayo just answer na kama hujui its better ukakip quite....kumbuka kuuliza c ujinga bro
 
Alama ya vidole viwili ni ishara ya vema (victory)
rangi red mashujaa waliopigania ukombozi na uhuru wa taifa letu,black sisi weusi wana wa nchi.white na amani
 
Waasisi wa cdm mtei ndesapesa makani ndiyo waliipendekeza ikiwa kwenye bendera ya blue mbowe alishauri kwenye bendera mpya pawe na ngumi akimaanisha nguvu ya umma wazee wakagoma
 
Thenx jamani wanajf wenzangu mmenifunua mwanga ,much love chadema vyema aisee
 
Jamani wanajamvini naomba kuuliza kitu kimoja nimeona waandamanaji wa kule tunisia, libya na morocco kwenye aljazeera wanaonyesha alama ya vidole viwili inayotumika na chadema huwa yamaanisha nini? Ni ukombozi au?
Mawazo yenu tafadhali
 
Ina maana nyingi - Vema, Victory, Peace, Chama cha Pili kushika dola (bara) baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza....
 
Kuna wengine wanadai ina uhusiano na free masson so far i interprete it as peace and victory
 
Kuna wengine wanadai ina uhusiano na free masson so far i interprete it as peace and victory

Hili na mi niliwahi lisikia ila siliamini. Haiwezekani alama inayotumiwa na watu wanaodai haki kwa kiwango kikubwa duniani na kufanikiwa ndo ihusishwe na mashetani.
 
Hili na mi niliwahi lisikia ila siliamini. Haiwezekani alama inayotumiwa na watu wanaodai haki kwa kiwango kikubwa duniani na kufanikiwa ndo ihusishwe na mashetani.

Unaushahidi kama hao jamaa ni mashetani?
Au ndio uzezeta wako unavyokutuma?
 
Back
Top Bottom