Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

Hapana, huyu jamaa sio chenga ila binadamu tunatofautiana kwa mengi ikiwa ni pamoja na hisia. Kuna watu wanapenda mwanamke mpaka kuoa kisa ana aina fulani ya pua! Sasa unashangaa nini yeye huyu kupenda mwanamke kisa yuko na aina fulani ya vidole...
[emoji122][emoji122] Agizia soda utalipia mwenye [emoji23]
 
Yan hata me sijielewi, naweza kupenda kitu kimoja tu kw dem ila nikamganda kinoma....mfn; dental formula tu, au nyusi, au kucha safi, au lips, au shingo, au miguu, au kadhalika[emoji39]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom