BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,922
I am attracted to a Queen,..
Ha ha we ni hatari mkuu haijawahi tokea kupenda vidole.Chenga kivp mkuu.? Aisee napenda sana vidole vya hawa viumbe.
Kumbe kwa ajiri ya makofi tu!!! KhaaaaHizo chura zinapigwa makofi ni balaa
Hahaaaaa kufuga tena, unaweza fuga ukakuta washa vuna wenzio[emoji38][emoji38] itakua anafuga
Mkuu samahan Kabla sjachangia hebu malizia sentens yako vdole vikipita wap???? Nisje ku coment uzi wa ndugu yake KAOGE bureHabar zenu wana JF.
Tuambizane hapa ni kip kinakuvutia kwa Mwanamke, maana hawa viumbe wanavutia kwa vitu vingi kwa kweli. Kwangu mm navutiwa na vidole, aisee napenda vidole vya hawa viumbe. Tena ukute ni vinene kiasi alafu vilaini, vuta picha vikiwa vinapita maeneo flan hiv.
Hahaahha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi hii serikali itaweza kutuinua kiuchumi au nimtegemee Mungu?
[emoji87] [emoji87]Kumbe kwa ajiri ya makofi tu!!! Khaaaa
Lkn kiukweli zina raha yake, mm nafrahia kuzishika shika
Navutiwa na pua na midomo kama ya huyu Inna ni raha sana. Yaan nitakuwa nawahi kurudi hom.[emoji87] [emoji87]