Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
14,131
Reaction score
33,902
Watu mna upwiru siyo kawaida, kwa mlivyojazana na kushupaza vichwa kwenye huo uzi wa mrembo, naamini wengi wenu humu vichupa vimejaa.

Enewei, mida yangu ya kujidai, njooni jamvini tusemezane.
  1. Sema ukweli, mara ya mwisho lini umedinyana vizuri mpaka roho yako ikaridhika?
  2. Ushawahi kumtongoza ndugu au rafiki wa mpenzi wako? ilikuwaje?
  3. Kiungo gani kwenye mwili wa binadamu kinachukuliwa kawaida ila kinakuvutia?
  4. Ukizidiwa na mihemuko mnaipunguzaje?
  5. Kwanini mpaka sasa hivi hujalala?
 
Happy Hour Drinking GIF.gif

min -me kuja hapa na upwiru wako wa kifungoni
 
Lamri chonganishi za ELI COHEN zimetimia, muiteni akuje hapa apunguze upwiru, mwambieni uzi wa kunyetukia tayari umetua.
Mida yangu hii, nishalaza vitukuu 😂😂

Huyo uliyemtaja kila siku akija kwenye nyuzi zangu ni kunitusi tu, anafikiri mimi ndiyo sababu ya upupu anaoandika kukosa wachangiaji.
 
Back
Top Bottom