Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

Habar zenu wana JF.

Tuambizane hapa ni kip kinakuvutia kwa Mwanamke, maana hawa viumbe wanavutia kwa vitu vingi kwa kweli. Kwangu mm navutiwa na vidole, aisee napenda vidole vya hawa viumbe. Tena ukute ni vinene kiasi alafu vilaini, vuta picha vikiwa vinapita maeneo flan hiv.
 
Matiti,mwanamke asingekuwa na matiti sidhani kama angekuwa anasumbuliwa na mwanaume
 
Back
Top Bottom