Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

Naomba muunganishe hii na ile siredi ya "nn kinakuvutia kwa mwanaume" alafu humu wote tufanye pamoja paper ya matching items then to draw conclusion hivi matata.........patamu hapooooo......Kitu na box.....
Boy I'm sicky for tits
 
Habar zenu wana JF.

Tuambizane hapa ni kip kinakuvutia kwa Mwanamke, maana hawa viumbe wanavutia kwa vitu vingi kwa kweli. Kwangu mm navutiwa na vidole, aisee napenda vidole vya hawa viumbe. Tena ukute ni vinene kiasi alafu vilaini, vuta picha vikiwa vinapita maeneo flan hiv.
Hela tu,,
 
Mnanikumbusha mbali.....niliwahi kuadhibiwa zaidi ya mara tano primary kwa kushikashika matiti visichana...yaani mpaka leo huo ndo ugonjwa wangu msee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijui kwa nini lakin napenda miguu ya size ya kati isiee mikavu sana lakini pia isiwe minene mnooo
 
Natural tingz:

1.Nywele halisi zibanwe nyuma tu.
2.No full time makeups, ngozi iwe free.
3.Chura awepo proportional to thighs.
4.Akiwa na mdomo mdogo its A+ wenye lips nene kidogo.
5.Kapua kadogo like my moms.
6.Urefu sio ishu ila asiwe mfupi below 5ft.
7.Skin tone iwe dry, light au dark brown.
8.Awe independent kiakili asiwe mtu wa circles,mwanamke kushikiwa akili na mashosti its a biggest turnoff kwangu.
9.Awezae kumudu tamaa za mwili katika hali zote kimaisha,sio mtu kila akionacho anataka awe nacho yeye tu.
10.Yule mtaratibu, understanding na pia apendae kuchangamshwa na utani kwa mbali. I would love to see her beauty face smile always na nitahakikisha hilo linatokea kila akiwa namimi.

11. Uje p.m ili tuweze kuyajenga vyema zaidi ambae unahisi unakidhi vigezo hivo hakika nitakupa pepo ya duniani hutojuta kunifahamu!
mkuu huyu itakubidi utembee mitaa ya uchina huenda wakafaulu kukuumbia wa aina hiyo...
 
Mwanamke akiwa na matako makubwa na awe anakifua ... tabia ndo inafuata. Napenda kushika shika matako makubwa
 
Back
Top Bottom