Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

Duuuu sijaonaa mwanaume aliye sema anapenda k mwenye kitambiii

Wamasai humu hamnaaa????[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ajue kupika vizuri
Awe msafi wa ROho na mwili
Asiwe mtu wa kununanuna

Hivyo vitatu vinampa sifa ya kuwa mke kwangu...
 
Habar zenu wana JF.

Tuambizane hapa ni kip kinakuvutia kwa Mwanamke, maana hawa viumbe wanavutia kwa vitu vingi kwa kweli. Kwangu mm navutiwa na vidole, aisee napenda vidole vya hawa viumbe. Tena ukute ni vinene kiasi alafu vilaini, vuta picha vikiwa vinapita maeneo flan hiv.
Mhhhhh!!! Mkuu au nyie ndo wale wazee wakuchambwa kidole kabla Ma tendo? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwanamke mwenye kiuno kinachotikisika anapotembea hawa hutajuta
 
alafu mpaka sasa hivi hataki kuweka wazi kwa kweli simweliwi ndo maana sitaki kuchangia huu uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amesema sehem nywele zinapofichwa

asa sijui ni wapi
 
una uhakika hautaniletea kitambi..!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee tena unaweza juta kwanini umenikubalii maana utakuwa km mgonjwa wa homa ya ini sikupatii picha kwa utakavyokondaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee tena unaweza juta kwanini umenikubalii maana utakuwa km mgonjwa wa homa ya ini sikupatii picha kwa utakavyokondaa
haya njoo pm unipe historia yako... ole wako uwe na historia nzuri nakutoa nduki..!!!
 
tako huwa nikiwanaye nalibonyabonya yaan nisipoliona tako lenye nyama flan hiv na lain sipat hisia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom