Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

Uso mzuri, midomo mizuri, kufua chenye viziwa km ndimu, ageuke basi, yeah usafiri kwa nyuma miguu iliyoshiba ya kinyakusya hivi. Hadi hapo usingizi utoke wapi? Na aanzie wapi kusema hafiki kile kileleee?
 
Waswahili wanasema 'kila shetani na mbuyu wake' Wengine wanapenda huu, wengine ule. Vivyo hivyo kila mtu anapenda vitu fulani katika umbo, tabia au hulka ya mwenzi wake. No formula
 
Uso mzuri, midomo mizuri, kufua chenye viziwa km ndimu, ageuke basi, yeah usafiri kwa nyuma miguu iliyoshiba ya kinyakusya hivi. Hadi hapo usingizi utoke wapi? Na aanzie wapi kusema hafiki kile kileleee?
Sasa viziwa kama ndimuuu?
 
Habar zenu wana JF.

Tuambizane hapa ni kip kinakuvutia kwa Mwanamke, maana hawa viumbe wanavutia kwa vitu vingi kwa kweli. Kwangu mm navutiwa na vidole, aisee napenda vidole vya hawa viumbe. Tena ukute ni vinene kiasi alafu vilaini, vuta picha vikiwa vinapita maeneo flan hiv.
Mimi navutiwa na kisogo yaani visogo vya hawa viumbe
 
Back
Top Bottom