Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,317
- 60,673
Umemaliza vizuri sanaWengine hatujawahi fika Dar es salaam...
Ndio nani nae huyo huko Dar?!
#NoReformsNoElection
Umemaliza vizuri sanaWengine hatujawahi fika Dar es salaam...
Ndio nani nae huyo huko Dar?!
#NoReformsNoElection
😂😂😂😂😂😂😂😂Kwamba haujui bro au unataka nije nichambwe hapa na utu uzima huu 😁
Mgombea udiwani wa chaummaWengine hatujawahi fika Dar es salaam...
Ndio nani nae huyo huko Dar?!
#NoReformsNoElection
Alipokuwa ana Hit mbona tukimposti sana. Kwa nini hamkusema tuache maisha ni yake? Acheni unafikiMaisha ni yake..., Wewe shughulika na yako
😂😂😂😂😂 nacheka hapa, hadi niko hoi.Atakuambia pambe tyu yeye ana amani sisi tunaowafatilia ndo hatuna amani 😂😂😂😂
Hawataki kusikia wapi wakisogezewa wanachapa hao.😂😂😂😂😂 nacheka hapa, hadi niko hoi.
Waja mko leleleee na msivyotaka kusikia.
Sizitaki mbichi hizi. Woiiiiiih
Mm sio mnafik mtoto mzur kama haszu nachapaHawataki kusikia wapi wakisogezewa wanachapa hao.
"Sizitaki mbichi hizi"
Aaaaaaaaaaah!!Hawezi kukubali kwamba inamuuma,lakini anayopitia huko duniani magumu kwake
Hata ningekuwa mie ningejikaza tu na hizo pambee tyuu😁
Ipo hiyo habari hata mm nimeona jana😁😁😁 huu sasa utani wa Ngumi mkuu
Bila kunitajaa huridhikii wee, unahisiKuna mambo yanashangaza sana, hadi leo sijui kwa nini vijana wanashindwa kukaza hata upitie magumu gani.
Hawa kina cocastic unakuta wametokea maisha ya kijijini lakini wakifika mjini wanashindwa kupambana wanasubiri vya bure mwisho wa siku wanamponza mwaikimba
Kwa kweliHawataki kusikia wapi wakisogezewa wanachapa hao.
"Sizitaki mbichi hizi"
Kata Gani huko daslamu?!Mgombea udiwani wa chaumma
Sawa siku nikija dar itabidi unitembeze mkuuNi KULI KULE DASLAM
OVA
Rich yule ana matatizo ya akili sio mara ya kwanza kufanya ivyo live zake nyingi ndio mamb yake alimleta alslay live bila yeye kujijuaBro uko nyuma… mitandaoni kunasemekana hivyo.. hizo habari ziliambatana masaa na kile kilichovuja juu ya Juma Lolo na SutiBega..🤭
Mara aliyekuwa mfanyakazi wa Zama.. kuwekwa Live( bila ye kujua) na yule Gay nimemsahau jina akawa anajimaliza 🥹 anaomba laki 2 kwa yule gay.. akamwambia akimpa Visa ya Canada ye atakubali kuolewa nae waishi 🥹🥹
Bro hali ni ngumu kwenye hizi kuta za vyumba… Mola alinde waja wake tu.
Cc Joanah
Bro coca acha hizo bwanaKamuulize mwenyewe IG huko, khaaah
😂😂😂😂😂