Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,194
Kwakweli sijui braza, hii habari ndo naiona kwako 😁Braza ni kweli kwani? 😂
Kwakweli sijui braza, hii habari ndo naiona kwako 😁Braza ni kweli kwani? 😂
Bro uko nyuma… mitandaoni kunasemekana hivyo.. hizo habari ziliambatana masaa na kile kilichovuja juu ya Juma Lolo na SutiBega..🤭Kwakweli sijui braza, hii habari ndo naiona kwako 😁
Bro uko nyuma… mitandaoni kunasemekana hivyo.. hizo habari ziliambatana masaa na kile kilichovuja juu ya Juma Lolo na SutiBega..🤭
Mara aliyekuwa mfanyakazi wa Zama.. kuwekwa Live( bila ye kujua) na yule Gay nimemsahau jina akawa anajimaliza 🥹 anaomba laki 2 kwa yule gay.. akamwambia akimpa Visa ya Canada ye atakubali kuolewa nae waishi 🥹🥹
Bro hali ni ngumu kwenye hizi kuta za vyumba… Mola alinde waja wake tu.
Cc Joanah
Ukimwi itakuwa.Mbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?View attachment 3489504View attachment 3489505
Bro 🤔 hakika nimezeeka.Bro uko nyuma… mitandaoni kunasemekana hivyo.. hizo habari ziliambatana masaa na kile kilichovuja juu ya Juma Lolo na SutiBega..🤭
Mara aliyekuwa mfanyakazi wa Zama.. kuwekwa Live( bila ye kujua) na yule Gay nimemsahau jina akawa anajimaliza 🥹 anaomba laki 2 kwa yule gay.. akamwambia akimpa Visa ya Canada ye atakubali kuolewa nae waishi 🥹🥹
Bro hali ni ngumu kwenye hizi kuta za vyumba… Mola alinde waja wake tu.
Cc Joanah
Kwamba analiwa huyu??? 🤔 au ye ndo anakula wenzie??Afadhali umejitokeza kusema
Braza Evelyn Salt alikuwa anashindwa kunibishia tu 😂
Kama ni kweli Idris naye ni gay basi hii dunia ina maajabu
Hilo jamaa lilikuwa fala sana yaani 500M kisa mbunye tu aaaahKama kweli alichoma 500M kwa wanawake itamchukua miaka mingi kukaa sawa mzee wa Big brother .
Hii ni habari kwangu. Kumbe na dimpzo naye ni gay (bottom or up?)Jana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz
Idris nae ni gay?
Mkuu hela ni nyingi sana ukiwa hujazishika. Ukizikamata zinakuwa kidogo. Mbaya zaidi kwa sisi tuliotoka familia fukara tunakuwa na uwezo mdogo wa kuhimili kushika hela nyingi kwa mara moja... yaani kunakuwa na wenge la hatari. Mara nyingi tunaishia kuzipoteza au kubakiza kidogo zinazoendana na akili zetu. Mara ya kwanza mimi kupata hela nyingi kwa mara moja ilikuwa mwaka 2006. Ilikuwa Tsh 117,600/= taslimu. Yaani nilitoka NMB Clocktower Arusha kwa spidi kali mwendo wa ngiri hadi Jogoo House stand kuu na kuagiza kuku & soda. Hadi narudi home nilikuwa na kama 40k tu.Hilo jamaa lilikuwa fala sana yaani 500M kisa mbunye tu aaaah
Ubaya wa kutafuna mashoga ni lazima na wewe uje utafunwe maana utaona ni kawaida. Wengi wameingia kwenye ushoga kwa sababu hiyoJana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz
Idris nae ni gay?
Mimi kwa mara ya kwanza mwaka 2006 nilikopa milioni 5 Azania Bank pale Masdo House, nikawekewa kwenye bahasha ndogo. Kutoka bank hadi posta kwenda kukwea dala dala niligeuka nyuma na pande zote mara 50 na kutetemeka na jasho jingi sana. Hapo ilikuwa ni kimuhemuhe cha hatari nikiwa ninaogopa itakuwaje kama ikitokea nikaporwa. Milioni tano niliona ni kama bilioni hivi, usicheze na kukamata hela nyingi kwa mara ya kwanza.Mkuu hela ni nyingi sana ukiwa hujazishika. Ukizikamata zinakuwa kidogo. Mbaya zaidi kwa sisi tuliotoka familia fukara tunakuwa na uwezo mdogo wa kuhimili kushika hela nyingi kwa mara moja... yaani kunakuwa na wenge la hatari. Mara nyingi tunaishia kuzipoteza au kubakiza kidogo zinazoendana na akili zetu. Mara ya kwanza mimi kupata hela nyingi kwa mara moja ilikuwa mwaka 2006. Ilikuwa Tsh 117,600/= taslimu. Yaani nilitoka NMB Clocktower Arusha kwa spidi kali mwendo wa ngiri hadi Jogoo House stand kuu na kuagiza kuku & soda. Hadi narudi home nilikuwa na kama 40k tu.
Ubaya wa kutafuna mashoga ni lazima na wewe uje utafunwe maana utaona ni kawaida. Wengi wameingia kwenye ushoga kwa sababu hiyo
Jambo la pili mambo yakiwa magumu usikubali kulelewa na mwanaume mwenzio hasa mfanyabiashara sababu hakuna pesa ya bure.
Idris alipoishiwaga alikosea sana kwenda kuishi kwa Max.
Ushoga unachukiza, shoga anafurahisha akiwa hatokei kwenye familia yako
Cc: cocastic
Mmmh hana akili tu hio pesa angetafuta kiwanja huko tegeta ndani ndani siingekuwa powa, sasa saiv kapanga tu hana kwake mshika anjilaumu kimoyomoyo najua hilo, anyway bht haijirudii mara mbili kwishaaaMkuu hela ni nyingi sana ukiwa hujazishika. Ukizikamata zinakuwa kidogo. Mbaya zaidi kwa sisi tuliotoka familia fukara tunakuwa na uwezo mdogo wa kuhimili kushika hela nyingi kwa mara moja... yaani kunakuwa na wenge la hatari. Mara nyingi tunaishia kuzipoteza au kubakiza kidogo zinazoendana na akili zetu. Mara ya kwanza mimi kupata hela nyingi kwa mara moja ilikuwa mwaka 2006. Ilikuwa Tsh 117,600/= taslimu. Yaani nilitoka NMB Clocktower Arusha kwa spidi kali mwendo wa ngiri hadi Jogoo House stand kuu na kuagiza kuku & soda. Hadi narudi home nilikuwa na kama 40k tu.
Hii ni habari kwangu. Kumbe na dimpzo naye ni gay (bottom or up?)
Kwamba analiwa huyu??? 🤔 au ye ndo anakula wenzie??
Coca ana majibu atakuja kuelezea kwa undani 😂😂😂😂
Juma Lokole hujawahi msikia? Bro mbona hatuzeekagi hivyo lakini umekuja kuwaje!!😂😂Bro 🤔 hakika nimezeeka.
Huwezi amini hao wote siwajui. Katika uliyotaja zama pekee ndo namjua bila shaka ni zamaradi😂
Yule eve mpenda ubuyu zama za kina Nifah kishazeeka, kwishaaa😂😂😂😂