Aaaaaaaaaaah!!
Kuniumaaa? Kivipii? Kwamba kuwa ktk Gaysim ndo niumiee? Sasa si natoka tyuu, if hiko kitu sikitaki au sikipendi.
Magumu yapi hayo Duniani? Em fafanua, pengine kwako wee ni magumu na sio kwangu mie...
Kuna kujikaza kwenye Gays? Tena km hapa Bongo, kelele kwa keyboard, huko uraiani watu wako lelelee na hawajari wala nn?
Au Unasemea Trauma? Km ni hivyo bas hii ni kwa wale waliongia pasipo wao kutaka au kupenda, ila waliingia kwa kulazimishwa, au factor ingine na hawakua na namna na badoo wanakua na chance ya kutoka huko ikiwa wana dhamira ya kweli...
Walio ingia kwa ridhaa na matakwa yao, mbna mambo ni mswano tyuuu.
Nweiiiiii!! Life tamuu.
😂😂😂😂😂😂