Nini kimemkuta Idris Sultan?

Nini kimemkuta Idris Sultan?

Bro uko nyuma… mitandaoni kunasemekana hivyo.. hizo habari ziliambatana masaa na kile kilichovuja juu ya Juma Lolo na SutiBega..🤭
Mara aliyekuwa mfanyakazi wa Zama.. kuwekwa Live( bila ye kujua) na yule Gay nimemsahau jina akawa anajimaliza 🥹 anaomba laki 2 kwa yule gay.. akamwambia akimpa Visa ya Canada ye atakubali kuolewa nae waishi 🥹🥹

Bro hali ni ngumu kwenye hizi kuta za vyumba… Mola alinde waja wake tu.

Cc Joanah
Ndio nani huyo mfanyakazi wa zama niweke link nisome habari unajua Mimi sipo huko daslamu mengi siyajui
 
Ubaya wa kutafuna mashoga ni lazima na wewe uje utafunwe maana utaona ni kawaida. Wengi wameingia kwenye ushoga kwa sababu hiyo

Jambo la pili mambo yakiwa magumu usikubali kulelewa na mwanaume mwenzio hasa mfanyabiashara sababu hakuna pesa ya bure.

Idris alipoishiwaga alikosea sana kwenda kuishi kwa Max.

Ushoga unachukiza, shoga anafurahisha akiwa hatokei kwenye familia yako

Cc: cocastic
Nilitaka kusema kitu kuhusu Idris na Max Rioba,ila kwa vile wewe umeanza,malizia..ongezea nyama mkuu..
 
Mmmh hana akili tu hio pesa angetafuta kiwanja huko tegeta ndani ndani siingekuwa powa, sasa saiv kapanga tu hana kwake mshika anjilaumu kimoyomoyo najua hilo, anyway bht haijirudii mara mbili kwishaaa
Inatokea mkuu. Mtoto wa maskini kupata 500m kwa mara moja bila kuwa na udhibiti lazima azipoteze. Ile hela angeshinda mtoto wa Bakresa hadi muda huu ingeshazaa mara 10.
 
Mimi kwa mara ya kwanza mwaka 2006 nilikopa milioni 5 Azania Bank pale Masdo House, nikawekewa kwenye bahasha ndogo. Kutoka bank hadi posta kwenda kukwea dala dala niligeuka nyuma na pande zote mara 50 na kutetemeka na jasho jingi sana. Hapo ilikuwa ni kimuhemuhe cha hatari nikiwa ninaogopa itakuwaje kama ikitokea nikaporwa. Milioni tano niliona ni kama bilioni hivi, usicheze na kukamata hela nyingi kwa mara ya kwanza.
Cha muhimu tuwafundishe sana watoto kuhusu nidhamu ya fedha na kuwaandaa kisaikolojia. Mtoto mwenye exposure hata kidogo itamsaidia sana ukubwani.
 
Ubaya wa kutafuna mashoga ni lazima na wewe uje utafunwe maana utaona ni kawaida. Wengi wameingia kwenye ushoga kwa sababu hiyo

Jambo la pili mambo yakiwa magumu usikubali kulelewa na mwanaume mwenzio hasa mfanyabiashara sababu hakuna pesa ya bure.

Idris alipoishiwaga alikosea sana kwenda kuishi kwa Max.

Ushoga unachukiza, shoga anafurahisha akiwa hatokei kwenye familia yako

Cc: cocastic
Max alimtafuna? Tatizo watu wengi huwa hawakubali ukweli kuhusu maisha yao. Nyakati mbaya zikifika wanajikataa. Kama ni nyakati unaona kabisa hakuna jinsi beba hata zege mambo yaende badala ya kutaka ku-maintain status. Idris ni aina ya watu waliokataa kabisa kukubali uhalisia wa maisha yao.
 
mwili wa binadamu ni kama gari, ni muhimu kuhudhuria gereji mara kwa mara
 
Max alimtafuna? Tatizo watu wengi huwa hawakubali ukweli kuhusu maisha yao. Nyakati mbaya zikifika wanajikataa. Kama ni nyakati unaona kabisa hakuna jinsi beba hata zege mambo yaende badala ya kutaka ku-maintain status. Idris ni aina ya watu waliokataa kabisa kukubali uhalisia wa maisha yao.
Kuna mambo yanashangaza sana, hadi leo sijui kwa nini vijana wanashindwa kukaza hata upitie magumu gani.
Hawa kina cocastic unakuta wametokea maisha ya kijijini lakini wakifika mjini wanashindwa kupambana wanasubiri vya bure mwisho wa siku wanamponza mwaikimba
 
Juma Lokole hujawahi msikia? Bro mbona hatuzeekagi hivyo lakini umekuja kuwaje!!😂😂
Yule wanatangaza na Mai Martha kipindi cha ICU kinarushwa na DStv.

Kuna jamaa alikuwa ni mfanyakazi wa Zamaradi ehee. Akaacha kazi kisa halipwi salary on time. Sasa huko mitandaoni ndio akawa nae anajiliza kwa gay apewe laki mbili na Visa ya Canada.
Ukisikiliza ile video inaonyesha Salehe ugumu wa maisha unamfanya anatumbukia pabaya.
Mtu akimuita ainame kwa exchange ya pesa hawezi kukataa na mpaka muda huu simu yake itakua ipo busy kwa wadau.
 
Watu maarufu wengi wana umeme kuanzia wanasiasa mpaka wasanii wote.

Idriss alikosea sana kushare mademu na kuwa kuwadi kwakuwa sio yeye aliyepata Ngwengwe Ila hata Steve Nyerere Rashida Wanjara . n.k

Loh! Idris kayakanyaga
 
Back
Top Bottom