idris sultan

Idris Sultan (born January 28, 1996) is a Tanzanian Actor, comedian, and Radio host who won the Big Brother Africa-Hotshots in 2014. BBA Winner Idris Sultan He hosts the biggest comedy news show called SIO HABARI. Apart from that, he also hosts his own stand-up comedy show. He is well known in Tanzania through the vines he posts on Instagram. He also hosted a radio show called MwB(Mji wa Burudani) on "ChoiceFM" Tanzania.
"Netflix". Idris Sultan is also the first Tanzanian actor to be featured on Netflix streamed movie .

View More On Wikipedia.org
  1. Gerald1

    Natafuta Mshirika wa Biashara ya Chips Tabata Kinyerezi

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki, Me naitwa Gerald Anthony Lyapega naishi Kinyerezi ni muhangaikaji wa kawaida tu kwa jina langu la mitaa wananiitaga GYGA. Pointi yangu ni kupata mshirika wa biashara, mimi nina eneo hapa stendi Kinyerezi nilikuwa na dhumuni la kufungua chips na nyamachoma ya...
  2. aka2030

    Edo Kumwembe na Idris Sultan punguzeni ushamba

    Huu wa kupoat picha za timu mbalimbali za tz kisha kifuani mnazifuta sababu ya matangazo Mbona mkipost timu zenu man U na arsenal Hamfanyi hivyo?
  3. mshale21

    Idris Sultan, wenzake wafutiwa mashtaka na mahakama

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia kesi na kumwachia huru msanii wa vichekesho, Idris Sultani na wenzake wawili baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) akielezea mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Sultan na wenzake walikuwa wanakabiliwa na shtaka moja...
  4. kiwatengu

    MOVIE: Idris Sultan ndani Netflix "Slay" - Usikose!

    Wale Wapenzi wa Movie, "SLAY" aliyoshirikishwa msanii Mtanzania Idris Sultan (Mogul). Inatarajiwa kuruka muda sio Mrefu. Kwa Dar mzigo utaruka Pale Little Theatre Oysterbay kuanzia Saa Moja jioni... Hakuna kiingilio. Nitakuwepo pia and I will comeback here for Review.
  5. Airmanula

    Staa na msanii Idris Sultan apaa kimataifa hadi NETFLIX;, kuonekana kwenye filamu ya Slay

    Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha Movies ya NETFLIX
Back
Top Bottom