Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,564
Wewe uwe ba D mbili tu zinatosha kuelewa😅Unanikataa halafu unanikubali 😂😂😂
Wewe uwe ba D mbili tu zinatosha kuelewa😅Unanikataa halafu unanikubali 😂😂😂
Atakuambia pambe tyu yeye ana amani sisi tunaowafatilia ndo hatuna amani 😂😂😂😂Pole yake aseee
Mashoga sidhani kama wanaishi kwa amani
Wewe uwe ba D mbili tu zinatosha kuelewa😅
Bwana anauma tuwalinde sana
Nacheka kwa huzuni
Atakuambia pambe tyu yeye ana amani sisi tunaowafatilia ndo hatuna amani 😂😂😂😂
Nimewaza story za bi eliza ndo anaibiwaga jizo na yule mkaka wanasemaga eti 😁Imagine unaibiwa bwana na mwanaume 😥
Kaka akili zako! 😂😂😂😂Jana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz
Idris nae ni gay?
Nimewaza story za bi eliza ndo anaibiwaga jizo na yule mkaka wanasemaga eti 😁
Kaka akili zako! 😂😂😂😂
Hajawahi kuchoma hela kwa wanawake mbona alishaeleza mara nyingi? Aliwekeza biashara haikufanya vizuri. Zingine alitapeliwa kwenye uwekezaji.Kama kweli alichoma 500M kwa wanawake itamchukua miaka mingi kukaa sawa mzee wa Big brother .
Watu maarufu wengi wana umeme kuanzia wanasiasa mpaka wasanii wote.Ni swali 😁😁
Mke mwenza wa bi liz, kuna mambo yanasikitisha kwakweliAti Bdozen na yeye kaamua kuliwa
Bro tubaki hivi hivi na unbraza wetu....tukaze!!
Uwekezaji wa wema sepetu au sio 😂😂😂Hajawahi kuchoma hela kwa wanawake mbona alishaeleza mara nyingi? Aliwekeza biashara haikufanya vizuri. Zingine alitapeliwa kwenye uwekezaji.
Braza sitaki 🤣Uwekezaji wa wema sepetu au sio 😂😂😂
Ni mambo mawili tu yatamuyumbisha mwanaume unga au kufilisika basiiiii...Mbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?View attachment 3489504View attachment 3489505
Alitaka nae aonje ya tanzanian sweetheart akakuta ni sweet akayeyusha hela 😂Braza sitaki 🤣
Muda uliopoteza kuja kutuuliza Sisi muhusika angeshakuwa amekupatia majibuMbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?View attachment 3489504View attachment 3489505
Nyingine ulipeleka wap? Au kuku na soda ilikuwa elf 60?Mkuu hela ni nyingi sana ukiwa hujazishika. Ukizikamata zinakuwa kidogo. Mbaya zaidi kwa sisi tuliotoka familia fukara tunakuwa na uwezo mdogo wa kuhimili kushika hela nyingi kwa mara moja... yaani kunakuwa na wenge la hatari. Mara nyingi tunaishia kuzipoteza au kubakiza kidogo zinazoendana na akili zetu. Mara ya kwanza mimi kupata hela nyingi kwa mara moja ilikuwa mwaka 2006. Ilikuwa Tsh 117,600/= taslimu. Yaani nilitoka NMB Clocktower Arusha kwa spidi kali mwendo wa ngiri hadi Jogoo House stand kuu na kuagiza kuku & soda. Hadi narudi home nilikuwa na kama 40k tu.