Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
Moze Iyobo ama?Hata Moze
Moze Iyobo ama?Hata Moze
🏃🏃🏃🏃Nenda ukakutane na balls 🤣
Mshawishi huyo jamaa akupe story yote, anasema yeye anajua hadi walivyokua wanalala😅Nasoma comments 😁
Kuoa sio hoja,mashoga mengi huoa kuficha ushoga,ila bado yanasuguliwa vinyeo vyao,yani inasikitisha sanaDimpoz kashfa ya hizo tabia anayo kitambo
Nilisikia na best yake Jux yumo ila kashaoa so naassume ilikuwa ni uongo
Kama ni kweli basi huko Daslama patakuwa pameoza sanaJana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz
Idris nae ni gay?
Kuandika huku nikunyime like siweziMkuu hela ni nyingi sana ukiwa hujazishika. Ukizikamata zinakuwa kidogo. Mbaya zaidi kwa sisi tuliotoka familia fukara tunakuwa na uwezo mdogo wa kuhimili kushika hela nyingi kwa mara moja... yaani kunakuwa na wenge la hatari. Mara nyingi tunaishia kuzipoteza au kubakiza kidogo zinazoendana na akili zetu. Mara ya kwanza mimi kupata hela nyingi kwa mara moja ilikuwa mwaka 2006. Ilikuwa Tsh 117,600/= taslimu. Yaani nilitoka NMB Clocktower Arusha kwa spidi kali mwendo wa ngiri hadi Jogoo House stand kuu na kuagiza kuku & soda. Hadi narudi home nilikuwa na kama 40k tu.
Bwana yupi tena? Huyu si alikua na jamaa yule wa Nanah Dolls? Na walishaa achana kwani, yule jamaa yuko na skaveller wa Uganda, tena kampeleka kuishi Canada.Jana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz
Idris nae ni gay?
Huyu jamaa kwa muda aliopoteza angeenda chuo angekuwa na phd.Mbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?View attachment 3489504View attachment 3489505
Hatar sanaBwana yupi tena? Huyu si alikua na jamaa yule wa Nanah Dolls? Na walishaa achana kwani, yule jamaa yuko na skaveller wa Uganda, tena kampeleka kuishi Canada.
Kwani lini Dimpoz aliachana na Gavana Joh??
Muda uliopoteza ku-type ungekuwa ushaliwa kimojaMuda uliopoteza kuja kutuuliza Sisi muhusika angeshakuwa amekupatia majibu
Hivi nyie waja mbona mko so bitter na ushoga/shoga hasa Bottoms, kwan tatizo nn?.Ubaya wa kutafuna mashoga ni lazima na wewe uje utafunwe maana utaona ni kawaida. Wengi wameingia kwenye ushoga kwa sababu hiyo
Jambo la pili mambo yakiwa magumu usikubali kulelewa na mwanaume mwenzio hasa mfanyabiashara sababu hakuna pesa ya bure.
Idris alipoishiwaga alikosea sana kwenda kuishi kwa Max.
Ushoga unachukiza, shoga anafurahisha akiwa hatokei kwenye familia yako
Cc: cocastic
Ko mtu akioa bas sio shoga? Nyie Waja!!Dimpoz kashfa ya hizo tabia anayo kitambo
Nilisikia na best yake Jux yumo ila kashaoa so naassume ilikuwa ni uongo
Mbona kitambo sana ni mke wa mtu, si bwana ake, alikua RC, sahivi kapelekwa ktk jumuia ya Chama.Mwandishi wa tamthilia ya Kombolela anaitwa Abdul writer.
Mkipata muda tembeleeni page yake ya Insta mrudi hapa jukwani kuleta feedback
Hali ni mbaya hapo daslamMbona kitambo sana ni mke wa mtu, si bwana ake, alikua RC, sahivi kapelekwa ktk jumuia ya Chama.
Lol. 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 nyie tena, na kupitwaa hamtakiii.Coca ana majibu atakuja kuelezea kwa undani 😂😂😂😂