Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Acha umbeya tena wa uongo wewe ndio uliambukizwa acha kuhukumu na acha unafiki wewe mwenyewe inawezekana ni MWATHIRIKA wa UKIMWI na unataka Legitimacy
Uongo gani bwana wewee huyo docta kazaa na marehemu mama yangu mdogo!!!!!
Nina picha zake kwa taarifa yako wakiwa wamepiga wote na mtoto juu. mi huwa siandiki uongo humu ndani muda huo sina
ukitaka ushahidi sema tukumwagie hapa
 
katuachia hospitali tunatamba nayo

hangaikia maisha yako na watoto wako usihangaikie na watu
Mbona una hasira ndugu yangu?????

Mi sio wa kuhangaika na huyo kairuki kiufupi huyo mimi nimeishi nae huku nikimuita ba mdogo ni mtu namfahamu nje ndani......
Mazuri yake tutasema na mabaya kama yalikuwepo yataongelewa tu.
 
Angela Kairuki ni mke wa Balozi Mbelwa Kairuki, wa Tanzania, Uingereza

Balozi Kairuki ni mtoto wa Marehemu Prof Kairuki na Dr Koku Kairuki

Mama Koku Kairuki ni mwenyekiti wa Bodi

Dada yake mkubwa Dr Clememtina Kairuki pia yupo hapo anasimamia hospital ya Kairuki IVF, Bunju

Wana dada yao mwengine Sima ni mwanasheria wa hospital na chuo chao Kairuki University

Kaka zake wawili Dr Muga Kairuki anasimamia Kairuki pharmaceutical, Kibaha na Dr Nkamera Kairuki ni physician hapo hospitalini kwao

Balozi Mbelwa yeye ni mjumbe wa bodi na alishafanya kazi hapo 99-2001 kabla ya kuingia serikalini, kipindi mzee wao anaumwa mpaka anafariki
upo sahihi asilimia 100% isipokuwa tu kwa mbelwa kairuki yeye baba yake aifariki akiwa shule bado , mengine yte hapo juu upo sahihi unawajua vizuri, nilishafanya kazi kwao kuwachunguza miaka ya 2002 mpaka 2004 enzi wana tuhuma za kufilisi mifuko ya bima, yaani walikuwa wana over charge bima za afya na wagonjwa hewa wengi , lakini baadae ikagundulika walikuwa wanachafuliwa tu na ma dr wa muhimbili kwa sababu ya wivu
 
Huko mapenzini hakuna cha dokta bingwa wala tabibu! ukifanya uzembe imekula kwako.

Binafsi najua hapa siwezi kuelezea zaidi.
Alifariki kwa ukimwi akamuacha mzazi mwenzie ukimwi.
na wakati mzazi mwenzie anafariki alitoa maneno na aliacha kimemo kuhusu kwao na baba mtoto wake kikiwa kina maelekezo yote . binti huyo kwa sasa yuko mbeya kaajiriwa kama muhasibu wa mojawapo ya halmashauri.
kairuki mke wake yupo hai mama Kokushubila yeye hakupata
 
upo sahihi asilimia 100% isipokuwa tu kwa mbelwa kairuki yeye baba yake aifariki akiwa shule bado , mengine yte hapo juu upo sahihi unawajua vizuri, nilishafanya kazi kwao kuwachunguza miaka ya 2002 mpaka 2004 enzi wana tuhuma za kufilisi mifuko ya bima, yaani walikuwa wana over charge bima za afya na wagonjwa hewa wengi , lakini baadae ikagundulika walikuwa wanachafuliwa tu na ma dr wa muhimbili kwa sababu ya wivu
sawa tithee
 
Ngoja nianzishe vita!!

"WANGEKUWA WACHAGA AU WAPARE SAA HIZI INGEKUWA VITA MAHAKAMANI"
FB_IMG_1792940613742.jpg
 
Huko mapenzini hakuna cha dokta bingwa wala tabibu! ukifanya uzembe imekula kwako.

Binafsi najua hapa siwezi kuelezea zaidi.
Alifariki kwa ukimwi akamuacha mzazi mwenzie ukimwi.
na wakati mzazi mwenzie anafariki alitoa maneno na aliacha kimemo kuhusu kwao na baba mtoto wake kikiwa kina maelekezo yote . binti huyo kwa sasa yuko mbeya kaajiriwa kama muhasibu wa mojawapo ya halmashauri.
Unakosea kutoa details zote. Mzee Kairuki alikuwa na mtoto mwingine nje wa kiume naye ni daktari.

Familia yake waligoma kabisa kugawa urithi kwa watoto wa nje. Walikuwa wengi. Ila panapo msaada mfano kusoma walitoa, hawakuwa na roho mbaya in such ila ni harakati za kutunza family fortune.
 
Nimesema ninachojua kwa details kidogo sana..sidhani kama kuna sehemu nimedadavua ukizingatia
 
Tumuache marehemu aendelee kupumzika kwa amani, huku tukiwa na matumaini ya kuja kuonana naye siku ya ufufuo

Tukisema kila mtu aandikiwe maisha yake ya upande wake wa pili, nadhani hakuna msafi humu

Sisi tulio hai tuendelee kuenzi mazuri tu, ametuachia Taasisi imara ya afya pamoja na Chuo Kikuu
 
Back
Top Bottom