Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Uongo gani bwana wewee huyo docta kazaa na marehemu mama yangu mdogo!!!!!
Nina picha zake kwa taarifa yako wakiwa wamepiga wote na mtoto juu. mi huwa siandiki uongo humu ndani muda huo sina
ukitaka ushahidi sema tukumwagie hapa
kwa hiyo ni sifa hujui ana watoto na wajukuuu ingekuwa wewe ungejisikiaje?
 
upo sahihi asilimia 100% isipokuwa tu kwa mbelwa kairuki yeye baba yake aifariki akiwa shule bado , mengine yte hapo juu upo sahihi unawajua vizuri, nilishafanya kazi kwao kuwachunguza miaka ya 2002 mpaka 2004 enzi wana tuhuma za kufilisi mifuko ya bima, yaani walikuwa wana over charge bima za afya na wagonjwa hewa wengi , lakini baadae ikagundulika walikuwa wanachafuliwa tu na ma dr wa muhimbili kwa sababu ya wivu
kazi nzuri na matokeo mazurii mafitina yapo kila kona
 
Kabla ya ujio wa mbaazi, watu wenye mpunga walikuwa wakifanya hayo matibabu ya kutoa damu yenye shida (kansa, ngwengwe n.k) na kuweka nyingine...

Hata yule "mzee mchonga" alikuwa anafanya hivyo, safari ilipowadia Israel akamtwaa huko huko kwenye mimashine akiwa "Ukerewe"...
Mzee mchonga kwani alikuwa na ugonjwa upi hasa?
 
Uongo gani bwana wewee huyo docta kazaa na marehemu mama yangu mdogo!!!!!
Nina picha zake kwa taarifa yako wakiwa wamepiga wote na mtoto juu. mi huwa siandiki uongo humu ndani muda huo sina
ukitaka ushahidi sema tukumwagie hapa
So Mamaako mdogo alikuwa analiwa OperaMiN!? Na Pia alikuwa na kali# kubwa sana kama usemavyo Mambo ya Prof Dr!?
 
1. Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini sababu ya kifo chake?.

2. Je ni ajali ya ghafla? Kama ni ugonjwa ilikuaje bingwa katika fani ya utabibu kiwango chake hakupata matibabu yenye ubora kwa haraka?

**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.

Pumzika kwa amani Profesa
Nimesali nae pale Msasani KKKT.....nikitoka hapo napitia maandazi road kunywa KIbuku.
 
1. Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini sababu ya kifo chake?.

2. Je ni ajali ya ghafla? Kama ni ugonjwa ilikuaje bingwa katika fani ya utabibu kiwango chake hakupata matibabu yenye ubora kwa haraka?

**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.

Pumzika kwa amani Profesa
Ila Joshua _ OK unapendaga sana mada za ngwengwe na njugu (boosters).

ChoiceVariable (Dogo my take)
 
Kwenye nyuzi za magonjwa makubwa hukosagi.
IMG-20261029-WA0323.jpg
 
Back
Top Bottom