Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

tanzania wangekuwepo kama yeye 7000 kungekuwa na mabadiliko makubwa.



ashakufa hana hisia mnasema sema kama nyinyi ndio mtapona kifo au magonjwa
 
Dr anapataje ukimwi?
Anajua matatizo mengi ya kiafya ya jamii,
Lazima anakuwa makini kuhakikisha unapata uwanja ukiwa umevaa socks
Huko mapenzini hakuna cha dokta bingwa wala tabibu! ukifanya uzembe imekula kwako.

Binafsi najua hapa siwezi kuelezea zaidi.
Alifariki kwa ukimwi akamuacha mzazi mwenzie ukimwi.
na wakati mzazi mwenzie anafariki alitoa maneno na aliacha kimemo kuhusu kwao na baba mtoto wake kikiwa kina maelekezo yote . binti huyo kwa sasa yuko mbeya kaajiriwa kama muhasibu wa mojawapo ya halmashauri.
 
Mburaaaaaaaa mbona hatare hii,
Kumbe mambo haya sio mageni jijini, mm ndiyo mgeni..... Mulio kwenye ndoa kazi ni nzito UTI na fangasi kwa hali hii hazitoisha


unajua sis, Kuna wakati naona vitu km hv mfn mtu km huyu ni daktare lkn anapafom usamvuni 🤔 asa ataweza muokoa muathirika wa ttzo hilo
Huku kwenye ndoa tunakaa ki masta! akikuletea fungus unaenda kumtafutia gono lake unamkabidhi!! ile misndano mpaka apone ni onyo hivyo ataanza kwenda kwa Asia Sina roho mbaya kwa step.

Docta alikuwa anapenda misambwanda.... halafu gest yake ilikuwa ni ofisini kwake mida ya lunch.

Docta alijua kutumia kikojoleo chake maana inasemekana alikuwa anajua kutumia pochi kwa hiyo kiupande mwingine alikuwa sukari yao.

Tumwache tu apumzike kwa amani hana dhambi!!! katuachia hospitali tunatamba nayo
 
Huko mapenzini hakuna cha dokta bingwa wala tabibu! ukifanya uzembe imekula kwako.

Binafsi najua hapa siwezi kuelezea zaidi.
Alifariki kwa ukimwi akamuacha mzazi mwenzie ukimwi.
na wakati mzazi mwenzie anafariki alitoa maneno na aliacha kimemo kuhusu kwao na baba mtoto wake kikiwa kina maelekezo yote . binti huyo kwa sasa yuko mbeya kaajiriwa kama muhasibu wa mojawapo ya halmashauri.
Acha umbeya tena wa uongo wewe ndio uliambukizwa acha kuhukumu na acha unafiki wewe mwenyewe inawezekana ni MWATHIRIKA wa UKIMWI na unataka Legitimacy
 
Huku kwenye ndoa tunakaa ki masta! akikuletea fungus unaenda kumtafutia gono lake unamkabidhi!! ile misndano mpaka apone ni onyo hivyo ataanza kwenda kwa Asia Sina roho mbaya kwa step.

Docta alikuwa anapenda misambwanda.... halafu gest yake ilikuwa ni ofisini kwake mida ya lunch.

Docta alijua kutumia kikojoleo chake maana inasemekana alikuwa anajua kutumia pochi kwa hiyo kiupande mwingine alikuwa sukari yao.

Tumwache tu apumzike kwa amani hana dhambi!!! katuachia hospitali tunatamba nayo
katuachia hospitali tunatamba nayo

hangaikia maisha yako na watoto wako usihangaikie na watu
 
Dr anapataje ukimwi?
Anajua matatizo mengi ya kiafya ya jamii,
Lazima anakuwa makini kuhakikisha unapata uwanja ukiwa umevaa socks
Sijui mengi ila huyu kariuki aliacha mtoto somewhere wa nje.
Pia huyo mama aliyezaa nae alifariki kwa ukimwi na kansa

Huko mapenzini hakuna cha dokta bingwa wala tabibu! ukifanya uzembe imekula kwako.
Aiseee kumbe hata Dr wanakabiliwa na changamoto hii
 
Back
Top Bottom