Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Hiyo ndoto kubwa ni ipi??,kuwa na hospitali na chuo cha uuguzi nayo ni ndoto kubwa.
mzee kwa wasomi wetu na kwa hii ngozi nyeusi hasa ukizingatia nyakati zake. tunaweza kabisa kusema aliona mbali na alijitahd sana
 
Hatari wapi mbea mwenzangu!!! huyo docta inasemakana alikuwa anapenda sana kisamvu kuliko nyama.
Mburaaaaaaaa mbona hatare hii,
Kumbe mambo haya sio mageni jijini, mm ndiyo mgeni..... Mulio kwenye ndoa kazi ni nzito UTI na fangasi kwa hali hii hazitoisha


unajua sis, Kuna wakati naona vitu km hv mfn mtu km huyu ni daktare lkn anapafom usamvuni 🤔 asa ataweza muokoa muathirika wa ttzo hilo
 
Mnamlia timing
Waalaa,alijali tu sana familia enzi za ujana hasa kuhusu shule,hadi kunifundisha masomo ya darasani yeye mwenyewe,alinijenga sana,mzee hawezi kula nyamachoma sehemu,atawafikiria nyinyi,so atanunua nyama buchani alete home, family man,mtu fair,muungwana sana
 
Back
Top Bottom