Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,442
Reaction score
40,209
1. Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini sababu ya kifo chake?.

2. Je ni ajali ya ghafla? Kama ni ugonjwa ilikuaje bingwa katika fani ya utabibu kiwango chake hakupata matibabu yenye ubora kwa haraka?

**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.

Pumzika kwa amani Profesa
 

Attachments

  • philip_mulashan_18ff58e430c64591bfd238267c44ed58.jpg
    philip_mulashan_18ff58e430c64591bfd238267c44ed58.jpg
    174.2 KB · Views: 15
Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini
sababu ya kifo chake. Je ni ajaki ya ghafla? Kama ji ugonjwa ilikuahe bingwa katika faninya utabinu hakuoqta matibabu kwa haraka?

**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.
Unataka kusema nini ??
Mbona kama uzi umeishia njiani?
 
Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini
sababu ya kifo chake. Je ni ajaki ya ghafla? Kama ji ugonjwa ilikuahe bingwa katika faninya utabinu hakuoqta matibabu kwa haraka?

**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.
Ndoto ya kila mwafrica mwenye mali
 
na kumbuka wakati wa uanzilishi wake alikuwa msaada mkubwa kwa jamii iliyozunguka pale wengi walijifungulua pale bure. Ameacha legacy nzuri sana.

ila kwa icho unachochimba sidhani kama kina afya ama lolote la kuisaidia jamii zaidi ni kuichafua familia tu au kuiumiza kihisia.
 
Back
Top Bottom