Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

Mburaaaaaaaa mbona hatare hii,
Kumbe mambo haya sio mageni jijini, mm ndiyo mgeni..... Mulio kwenye ndoa kazi ni nzito UTI na fangasi kwa hali hii hazitoisha


unajua sis, Kuna wakati naona vitu km hv mfn mtu km huyu ni daktare lkn anapafom usamvuni 🤔 asa ataweza muokoa muathirika wa ttzo hilo
Maraaanguuu babaaanguuu
 
1. Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini sababu ya kifo chake?.

2. Je ni ajali ya ghafla? Kama ni ugonjwa ilikuaje bingwa katika fani ya utabibu kiwango chake hakupata matibabu yenye ubora kwa haraka?

**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.

Pumzika kwa amani Profesa
Kwamba alitakiwa aishi miaka 930 kama Adamu?
 
Angela Kairuki ni mke wa Balozi Mbelwa Kairuki, wa Tanzania, Uingereza

Balozi Kairuki ni mtoto wa Marehemu Prof Kairuki na Dr Koku Kairuki

Mama Koku Kairuki ni mwenyekiti wa Bodi

Dada yake mkubwa Dr Clememtina Kairuki pia yupo hapo anasimamia hospital ya Kairuki IVF, Bunju

Wana dada yao mwengine Sima ni mwanasheria wa hospital na chuo chao Kairuki University

Kaka zake wawili Dr Muga Kairuki anasimamia Kairuki pharmaceutical, Kibaha na Dr Nkamera Kairuki ni physician hapo hospitalini kwao

Balozi Mbelwa yeye ni mjumbe wa bodi na alishafanya kazi hapo 99-2001 kabla ya kuingia serikalini, kipindi mzee wao anaumwa mpaka anafariki
Familia wote wamepiga SHULE HASA.
 
Back
Top Bottom