kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 18,085
- 22,139
Naomba uzi ufungwe kwa comment hii.asante.Apumzike kwa amani. Tusiongelee wazazi wa watu
Kazi ni kipimo cha utu
Naomba uzi ufungwe kwa comment hii.asante.Apumzike kwa amani. Tusiongelee wazazi wa watu
Miss cocastic nimekumbuka kitu kingine, hata waganga wa kienyeji kwenye hili la umeme wengi wananasa sana.Siwakandii wala kuwabagaza, kada ya Afya wengi hasa Wanaume wanapenda sana Samvu, huwa najiuliza shida nini? Binafsi nikawa nawaza labda kwa kuwa harage wanaliona na kulichezea watakavyo mda wote, pindi wahudumiapo wanawake km hao wajawazito. Hivyo wanakua km wameshazoea na kukinai.
Aiseee, mimi ningekuwa ni Dr, kabla ya kuingia kwenye uhusiano (mapenzi) nakupima kwanza afya, kisha mambo mengine yaendeleeHuko mapenzini hakuna cha dokta bingwa wala tabibu! ukifanya uzembe imekula kwako.
Binafsi najua hapa siwezi kuelezea zaidi.
Alifariki kwa ukimwi akamuacha mzazi mwenzie ukimwi.
na wakati mzazi mwenzie anafariki alitoa maneno na aliacha kimemo kuhusu kwao na baba mtoto wake kikiwa kina maelekezo yote . binti huyo kwa sasa yuko mbeya kaajiriwa kama muhasibu wa mojawapo ya halmashauri.
Aiseee, mimi ningekuwa ni Dr, kabla ya kuingia kwenye uhusiano (mapenzi) nakupima kwanza afya, kisha mambo mengine yaendeleeSiwakandii wala kuwabagaza, kada ya Afya wengi hasa Wanaume wanapenda sana Samvu, huwa najiuliza shida nini? Binafsi nikawa nawaza labda kwa kuwa harage wanaliona na kulichezea watakavyo mda wote, pindi wahudumiapo wanawake km hao wajawazito. Hivyo wanakua km wameshazoea na kukinai.
2. Je ni ajali ya ghafla? Kama ni ugonjwa ilikuaje bingwa katika fani ya utabibu kiwango chake hakupata matibabu yenye ubora kwa haraka?
Kuna jamaa kwa sasa ameshakuwa Mzee, ni mfanyabiashara wa hotel za kitalii, miaka hiyo tulikuwa tukielezwa kuwa huwa anaenda Uingereza kubadilisha damu, kipindi hicho alikuwa na umri kama 45 na sasa huenda ana ana zaidi ya 70, na nasikia angalia haiKijana unatikisa meza yenye vinywaji vya gharama sana...
Anyway, bwana profesa pamoja na kubadilisha damu mara kwa mara lakini hakuweza kukikwepa kifo...(tuishie hapo)
miaka hiyo tulikuwa tukielezwa kuwa huwa anaenda Uingereza kubadilisha damu, kipindi hicho alikuwa na umri kama 45 na sasa huenda ana ana zaidi ya 70, na nasikia angalia hai
umeipanga vzr mno, na uzi ufungweAngela Kairuki ni mke wa Balozi Mbelwa Kairuki, wa Tanzania, Uingereza
Balozi Kairuki ni mtoto wa Marehemu Prof Kairuki na Dr Koku Kairuki
Mama Koku Kairuki ni mwenyekiti wa Bodi
Dada yake mkubwa Dr Clememtina Kairuki pia yupo hapo anasimamia hospital ya Kairuki IVF, Bunju
Wana dada yao mwengine Sima ni mwanasheria wa hospital na chuo chao Kairuki University
Kaka zake wawili Dr Muga Kairuki anasimamia Kairuki pharmaceutical, Kibaha na Dr Nkamera Kairuki ni physician hapo hospitalini kwao
Balozi Mbelwa yeye ni mjumbe wa bodi na alishafanya kazi hapo 99-2001 kabla ya kuingia serikalini, kipindi mzee wao anaumwa mpaka anafariki
Kwa Sasa unaweza kipindi hicho cha miaka ya themanini Ukimwi haukuwa rasmi kama Leo. Kupima na kuvaa condom ilikuwa kama haipo enzi hizo.Aiseee, mimi ningekuwa ni Dr, kabla ya kuingia kwenye uhusiano (mapenzi) nakupima kwanza afya, kisha mambo mengine yaendelee
Kuna anchokitaka.Unataka kusema nini ??
Mbona kama uzi umeishia njiani?
hata sielewi mkuu ila ilkua hatari sanaAu una group O+
We jamaa unauhakika na unachokisema??Wazawa wanapokua na ndoto kubwa zenye kutishia maslahi ya wakusudiwa kuwa ma don,unaingizwa kwenye black list patern!
Reginald Mengi,Rama wa kariakoo hao,super Sami,n.k hayo ni baadhi ya wazawa ambao wamewahi kuingia kwenye Kashi Kashi au kulalamika plus kuhofia uhai wao!!
Hatujui maono yake yalitishia kiasi Gani wafadhili wakuu wa tiba hapa bongo!!
Nawaza,kama kawaida yangu!!
Nawaza!hujaona hapo!!?We jamaa unauhakika na unachokisema??
Huyo ni ***** tu lengo ni kutafuta umaarufu humu ndaniInaonesha ulikuwa unampa kisamvu hadi unajua alichokuwa anapenda
Daaah kuna watu ukiona I'd zao unajua bonge la msomi mstaaarabu kumbe mabogus tuu wazee kusikia uongo
Ona unavyojikanyagaNimesema ninachojua kwa details kidogo sana..sidhani kama kuna sehemu nimedadavua ukizingatia
Nakiete?Hakika ni kati ya Taasisi thabiti katika Utabibu na Mafunzo inayomilikiwa na familia (ngozj nyeusi) nchini
Kwa zama hizo haikuwa rahisiAiseee, mimi ningekuwa ni Dr, kabla ya kuingia kwenye uhusiano (mapenzi) nakupima kwanza afya, kisha mambo mengine yaendelee