kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,481
- 23,070
Huyo ndo mume wa Angera Kairuki?
hapana
Huyo ndo mume wa Angera Kairuki?
Dahh watu wa jf noma sana!Kauliza anataka kujua kilichomuua nikamjibu
Kuna jibu analisubiri asikie kuwa mkewe ndiyo alimuua ili wapate ushindi wana jf
Nimejifunza jambo jipya aisee!Ali-mmachame = Ali-muua 😁😁
Kabisa kwa sisi Alumni wa paleHakika ni kati ya Taasisi thabiti katika Utabibu na Mafunzo inayomilikiwa na familia (ngozj nyeusi) nchini
Eeeeh mamamangu naomba usije ni-machame bure 😆Dahh watu wa jf noma sana!
Muhimu pia ni namna taasisi ilivyoendelea kusimama imara bila uwepo wake1. Mheshimiwa Prof Kairuki ndie mwasisi wa Hospitali Maarufu nchin na duniani kwa TIBA na MAFUNZO kwa fani za utabibu. Nilitaka kufahamu je nini sababu ya kifo chake?.
2. Je ni ajali ya ghafla? Kama ni ugonjwa ilikuaje bingwa katika fani ya utabibu kiwango chake hakupata matibabu yenye ubora kwa haraka?
**Hakika ameacha taasisi imara ya kupigiwa mfano.
Pumzika kwa amani Profesa
Hata kwa mazuri?Apumzike kwa amani. Tusiongelee wazazi wa watu
AI inasema ni yeye, kwahiyo ni yeye tu hata kama sio kweliHuyo ndo mume wa Angera Kairuki?
Mke wake alikua ni Mhaya hana kabisa nasaba za jamiii zilizo chini ya mlima Kilimanjaro.Unataka kusema ali mmachame sio maake ndipo akili za baadhi ya wapuuzi wa jeifu cc min -me Seran binti kiziwi leo dada
Hongera kwa kazi nzuri Kairuki
Au kwa maneno mengine "alifanyiwa umachame"!Huyo ndo mume wa Angera Kairuki?
Eeeh kaka angekuwa wa huko ama wazawa wa huko huu uzi ungekuwa na reply za kutosha na nyuzi nyinginezo zingekuwepoMke wake alikua ni Mhaya hana kabisa nasaba za jamiii zilizo chini ya mlima Kilimanjaro.
Daktari bingwa magonjwa ya akina mamaNgwengwe
yupo na ndio mmliki wa hospital, kama mkurugenzi mtendajiMkewe yupo?tuanzie hapo
angela kaolewa kwa kairuki, ni ukweni kwakeHuyo ndo mume wa Angera Kairuki?