Wijwijwij :becky:,bwa ha ha haa ha ,kha !! Sasa hivi CUF ni chama kikuu cha upinzani sio Tanzania tu bali hata east africa ,ni Chama ambacho kinajulikana hadi ndani ya UN au umoja wa Mataifa kutokana na tifu zake, ila ninyi wengi wenu ni wepesi wa kusahau kwani CHADEMA ni chama cha umimi ,sisi tu ,
Yaani CHADEMA ni watu wa majigambo na kwa jinsi wanavyojisahau hujiona akuna kama wao ,hivyo pale wanapohitajiwa kuwa wakae pembeni ,huwa hawaamini kuwa katika eneo hilo wao hawana wateja na hawana nguvu ,kumbukeni tu kule Tarime CHADEMA waliachiwa na zaidi hata nguvu za wanachama wa CUF zilitumika katika kuisaidia CHADEMA na kufanikisha kuiangusha CCM ,ila wanapotakiwa na wao wakae pembeni na kusaidia ubavu ndipo wanapozua mbinde na mijineno kibao ya kujilabu.
:mad2: Data za chaguzi zote zinaonyesha bado CUF ni tishio kwa CCM na wenyewe CCM wanalielewa suala hilo ,CCM wanaelewa kuwa kizingiti kikubwa ni CUF na hawa wengine si lolote si chochote ,palipo na CUF basi CCM yupo tayari kuuwa kutumia kila kitu vikiwemo vyombo vya dola vya aina zote ,hapo panatosha kukutanabahisha kuwa CUF sio Chama cha kulumbana kwenye viriri vya majukwaa. Kama tulivyoona CHADEMA na maguruneti yao ya ufisadi ,hivi hapa tulipo tujiulize CHADEMA wamifika wapi ??? Au wamefikia wapi ???
:A S 100: Ni rahisi mtu kusema sijui kuna kesi zinaendelea zote ni sababu ya CHADEMA na CUF wamefanya nini kubwa ? CUF ni chama chenye mawazo endelevu na uwono wa mbali kinajua fika wakati wa kurusha maguruneti na yakajeruhi ,wakati ambao haujafika,,,,, ukirusha sassa hivi yote yatafulia kama yalivyo fulia ya CHADEMA.[/QUOTE
Wafumbue macho. na kwa kuthibitisha hayo,hivi juzi tu tumesikia takriban viongozi wa Cuf 138,ikiwemo asilimia 74 ni viongozi wa kuchaguliwa na wananchi ktk serikali za mitaa na vitongoji,na walobaki wengi wanatarajiwa kugombea ktk uchaguzi ujao wamesekwa ndani na tena hata dhamana hawakupewa na hawana kesi yoyote. hebu niambieni kuna wa chadema aliesekwa ndani? nani tishio kwa ccm? je chadema ni ccm b?