Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

Je ni kweli upinzani upo Tanzania? Mwananchi unaweza kujibu na affirmative answer kuwa upinzani Tanzania upo, lakini their role is not being felt very much due to number of reasons, mojawapo ikiwa ni insolvency. They are not being suppressed by any force or political pressure group. Lakini, hivi vyama wielding their respective flags and fully registered, are facing vikwazo vingi ambavyo ni self-hurdles to the extent kwamba they have failed to emancipate themselves from such man-made hurdles!

Historia ya bongo inatuambia kuwa miaka michache to the independence of Tanganyika, kulikuwa na strong na true opposition parties, au upinzani. Kulikuwa na (UTP)-United Tanganyika Party, na pia African National Congress - (ANC), kikiongozwa na the most courageous political leader Zuberi Mtemvuu. The UTP, stood for the interests of the whites, including some well to do Asians and even some highly placed Africans, walikuwa ni wanachama wa hiki chama! Hawa Waa-Afrika walikuwa wanadanganywa na ma-DC huko kwenye rural settings na wale wa waliokuwa kwenye Civil Service walikuwa pressured by the so called Chief Secretary.

Kuonyesha how strong na influential opposition parties were wakati wa enzi hizo, kuna mfano wa safari ya Zuberi Mtevu wa ANC, alivyofunga safari kwenda kule UNO, yaani UN ya leo kule New York, ambako alikwenda ku-kuhutubia Baraza la Usalama la Umoja huo wa Dunia, ku-counter madai ya Mwalimu Nyerere ya uhuru wa nchi yetu. Yaani kupinga maneno ya Mwalimu katika kudai uhuru wetu!Sasa kama chama kama cha ANC, bongo katika miaka ya 1950s, kwa ajili ya just cause, kwa nini vyama vyetu vya upinzani leo Tanzania vimeshindwa kabisaa ku-mobilize themselves katika a stronger party that can be a threat to CCM?

Hebu fikiria kuwa leo Tanzania tuna vyama vya upinzani 23, ambavyo ni full officially registered, na ambavyo pia vinaongozwa na by credible people with acceptable educational qualifications?

Hueleweki, kama ukiamua kuandika kwa Kiingeresa basi fanya hivyo siyo kuchanganyax2
 
uPINZANIA HAUWEZI KUUNGANA HAPA TANZANIA KWA KUWA KATIBA ILIYOPO NI YA CHAMA KIMOJA HIVYO SHERIA PIA HUTUNGWA KATIKA NAMANA INAYOVILAZIMISHA VYAMA KUCHUANA HATA VYENYEWE ILI KUENDELEA KUWEPO AMA SIVYO VITAKUFA NA NDIO CCM WANACHOTAKA. SOLUTION NDIO KAMA HII TUNAYAOTAKA WATANZANIA WABUNGE WA UPINZANI KUONGEZEKA KIDOGO KIDOGO ILI MADAI YA MABADILIKO YA KATIBA YASHIKE KASI. KUONGEZEKA KWA IDADI YA VIJANA WENYE UMRI WA KUPIGA KURA AMBAO WANAISHI KATIKA INFORMATION COMMUNICATION AGE WAKIJUA NINI KINAENDELEA KENYA, AFRICA NA ULIMWENGUNU KOTE IS ANOTHER IMPORTANT MILESTONE.

hIVYO TUSIKATE TAMAA; HUU MFUMO WA KDEKTETA ULIJENGWA NA MWALIMU NYERERE AKIWA NANAAMINI KUWA ANAIFANYAIA TANZANIA MEMA, NA ILIMCHUKUA TAKRIBANI MIAKA 30. NA KUUBOMOA ITACHUKUA KIPINDI KAMA HICHO PIA, SASA TUNA MIAKA 18 TOKEA MFUMO WA VYAMA VINGI ULIVYOANZISHWA BILA YA KUTOLEWA KWA ELIMU YA URAIA KAMA ILIVYOPENDELKEZWA NA TUME YA NYALALI.

SOMA KIAMABATNISHO ILI UTAMNBUE JINSI SERIKALI YA TANZANIA INAVYOVIBANA VYAMA VYA AINA MBALI MBALI
 
Tunamkaribisha ZITTO KABWA katika chama cha Mageuzi CCM

Kuna dilili njema kuwa zitto ndo atakuwa SIRAHA ya CCM kuimaliza CHADEMA


1.Sasa Hivi hajasoma chochote kuhusu Dr SLaa na chadema
2. Mkutano wa uzinduzi hajatokea
3. Zitto anauliza kwanini kikwete kakwepa jimbo lake? source NIpashe


CCM inamkaribisha Zitto Kabwe

Hiyo kwenye red ni lugha gani?
 
Tunamkaribisha ZITTO KABWE katika chama cha Mageuzi CCM

Kuna dilili njema kuwa zitto atakuwa SILAHA ya CCM kuimaliza CHADEMA


1.Sasa Hivi hajasoma chochote kuhusu Dr SLaa na chadema
2. Mkutano wa uzinduzi hajatokea
3. Zitto anauliza kwanini kikwete kakwepa jimbo lake? source NIpashe


CCM inamkaribisha Zitto Kabwe

Kumbe kweli mmetumwa rasmi kugombanisha watu kuanzia leo Agusti 30, 2010...hatudanganyiki
 
Kumbe kweli mmetumwa rasmi kugombanisha watu kuanzia leo Agusti 30, 2010...hatudanganyiki

Mkuu, jeykey aka malaria sugu ni design ya mtu ambaye amezaliwa Kariakoo, akasoma boma shule ya msingi, secondary amesomea Almuntanzir opposite Ben mkapa secondary akabahatika kuajiriwa kuuza icecream Kariakoo kwa Bakhressa. Hata anachoandika hajui maana yake.
 
Kumbe kweli mmetumwa rasmi kugombanisha watu kuanzia leo Agusti 30, 2010...hatudanganyiki
Tatito lao hawana hata substantial arguments, karibu topic zao zote wanazoanzisha hazina convincing power kazi yao ni kuvuruga ni sawa mtoto anapolia katikati ya mazungumzo, ila wanawapa kazi MODS kuhamisha threads.
 
mkuu, jeykey aka malaria sugu ni desin ya mtu ambaye amezaliwa kariakoo, akasoma boma shule ya msingi, secondary amesomea almuntanzir opposite ben mkapa secondary akabahatika kuajiriwa kuuza icecream kariakoo kwa bakhressa. Hata anachoandika hajui maana yake.
Umepatia kweli, design yake ni sawa na watoto wanaolazimishwa kwenda madrasa asubuhi anaenda kwa fimbo huku analia na kandambili za mguu mmoja. Alilazimishwa kuingia Kinondoni Muslim Secondary form 2 karudia mara mbili kaondoka na div. zero ya form 4 mwisho akaajiriwa na gazeti la Al nuur.
 
JeyKey acha kabisa kutaka kumchonganisha kijana wa watu. Nani hafahamu jinsi CCM walivyomkalia kooni jimboni kwake. Kampeni hizi ni za miezi miwili, yuko reserve ili timu yetu iweze kucheza hata dakia 120; utamuona secoind na thrd round.
 
Sasa ni miaka kumi na tano (15) tangu vyama vya upinzani vilipoanza kushiriki katika uchaguzi mkuu hapa nchini.Hata hivyo,vyama hivyo hadi sasa havijajifunza na havina nia ya kweli ya kushiriki uchaguzi na hatimaye kuweza kushinda katika chaguzi zinazofanyika.

Nathubutu kusema hinyo kutokana na ukweli kwamba ndani ya vyama vya upinzani vikiwemo CHADEMA,CUF,NCCR Mageuzi n.k,kuna matatizo mengi makubwa yakiwemo:ubinafsi,uchu wa madaraka,malengo tofauti ambayo hayana tija kwa nchi na taifa kwa ujumla kama udini na ukabila, mambo ambayo yanavifanya vyama hivyo vya upinzani kuanza kutafunana vyenyewe kwa vyenyewe.Hali hiyo imedhihirika katika kampeni zinazoendelea sasa,ambapo vyama vya upinzani vimekuwa vikiraruana na kuthibitisha uadui wao mbele ya watanzania.

Kutokana na uadui huo,viongozi wa vyama vya upinzani wamekataa kuungana (kusimamisha mgombea mmoja katika maeneo ambayo wanakubalika na wananchi),badala yake wanapigana vijembe na majungu majukwaani, jambo ambalo linathibitisha kuwa siasa za vyama vya upinzani nchini ni dhaifu na hazina dira wala mikakati ya muda mrefu.Kwa msingi huo,hatuna vyama vya upinzani ambavyo vina nia thabiti ya kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya nchi.

Watu hujifunza kutokana na makosa, lakini viongozi wa vyama vya upinzani hawajajifunza katika miaka yote kumi na mitano (15) na hawataki kujifunza na kubadilika.Kutokana na hali hiyo,ndugu watanzania ambao ni wapiga kura tuwanyime kura viongozi wa vyama vya upinzani katika uchaguzi huu wa 2010 hadi hapo watakapojifunza na kubadilika

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Unataka nani apewe wakati raisi wako ni mgonjwa unajuaje atakuwepo wakati wa uchaguzi, angalia simanzi hizi
 
Kweli mmeshikwa pabaya,yaani mnaweweseka kweli.
Hujafikiria kuinyima kura ccm ambayo haijajifunza uzalendo tangu iliposhika hatamu za nchi hii mpaka leo.
 
Unataka nani apewe wakati raisi wako ni mgonjwa unajuaje atakuwepo wakati wa uchaguzi, angalia simanzi hizi

jk_203.jpg


5yhkip.jpg

Naona huyo mama wa kushoto kafumba macho kabisa hataki kushuhudia zaidi.....kweli majonzi na vilio.....halafu wanasema kidumu Chama Cha Mafisadi.
 
Ndugu zangu, Tujue kuwa CCM ni Mafia. wanapandikiza mamruki katika vyama ili kuleta mgawanyiko. Kumbuka na marekebisho ya sheria kuzuia vyama kuungana (kama ilivyotokea Kenya) ilikuwa inalenga kudhoofisha vyama vya upinzani. Zaidi ya hayo Tanzania (CCM) kwa sasa kuna udini; Haujui? Rais (Mwislamu), Makamu Mwislamu, Rais wa Zanziba na waziri wake Kiongozi ... So katika watu wa juu watano wakristo wana Pinda pekeyake. Upo? kama ni kunyima kura ni basi ni CCM.
 
Wakitoka hapo wanaenda kulala njaa au wanatupiga mizinga, halafu ukiwakuta na ushabiki wa majungu ya CCM!
 
Oh! CCM mmekosa mpiga debe mwingine mpaka mmeokota mtu huyu ambaye ni mchafu hasafishiki?
 
Back
Top Bottom