Yeye aliachiwa yeye ameona hastahili kushindwa; kweli labda muujiza kulikomboa au la linarudi mikononi mwa mafisadi
Tukiweka Ushabiki wa vyama vyetu kando. Hivi wanasiasa wanalengo kweli la kuleta ukombozi Tanzania au ni maslahi binafsi? Maana jimbo limesharudi kwa wenyewe.
Yes, na ndio maana mwera moved on... its all about be in the mjengo, than taking care of wananchi... you dont need to be in the bunge to serve the needy, especially if you are pro-poor!!!Nisaidieni wadau,hivi CHADEMA wameshateua wagombea wao tayari?
Nafikiri ndo mwisho wake kisiasa, ameijilostisha. lakini inafikia wakati unajua kwamba siasa za tanzania wachache ni wajenga nchi wengine ni mambo ya "ME AND MYSELF"
Yes, jimbo litarudi CCM kwani watafaidika kutokana na Chadema na CUF kugawana kura. Hata hivyo kuna faraja kwamba hakurudi CCM!
Msaada huyu Mwera C alikuwa nani?
Ni wote tu, hakuna cha wajenga nchi wala nini, hao 'wajenga nchi' nchi yenyewe wanayoijenga IKO WAPI??Nafikiri ndo mwisho wake kisiasa, ameijilostisha. lakini inafikia wakati unajua kwamba siasa za tanzania wachache ni wajenga nchi wengine ni mambo ya "ME AND MYSELF"