Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

CUF walifikiri ni wao tu wataendelea kuwa chama kikuu cha upinzani ujio wa Chadema na kuvuna mashabiki umewashitua zaidi.
 
CUF walifikiri ni wao tu wataendelea kuwa chama kikuu cha upinzani ujio wa Chadema na kuvuna mashabiki umewashitua zaidi.

mjadala huu hauna tija vision ya chadema ni kuiondoa ccm madarakani na cuf vilevile kujivunia kuwa chama kikuu cha upinzani ni akili ya kushindwa
 
mjadala huu hauna tija vision ya chadema ni kuiondoa ccm madarakani na cuf vilevile kujivunia kuwa chama kikuu cha upinzani ni akili ya kushindwa

Basi leta hoja yako yenye akili ya kushinda!
 
Fitina tu, CUF haina muda na vyama vidogo vidogo kama hivyo...kwenye siasa kila chama kinajenga na kulinda mtaji wake, CUF inajivunia kupambana na CCM kwa mafanikio makubwa kuliko chama kingine, ishara pekee ya kuthibitisha kwa CUF inatumia mda wake mwingi kuleta mageuzi ya kweli kuliko kupambana na wapinzani wenzake, ni hatua ya kushawishi mageuzi ya kweli na kuibana CCM mpaka imefika hatua CUF ipo mguu mmoja ndani ikulu na mda si mrefu watanzania watajuwa maana ya siasa za kweli za kimageuzi.
 
Nionavyo mimi CUF mzizi wake uko Pemba tu. Hawana kiti hata kimoja cha Ubunge Tanzania Bara na vile walivyokuwa navyo kabla ya 2005 walivipoteza! Juzi Dkt Slaa, pia Mbowe walipotangaza kutogombea urais Prof Lipumba aliomba CHADEMA iwaunge mkono kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu! Hapa ni wazi kuwa CUF inaihitaji CHADEMA kwa kiasi kikubwa hasa wakati ambapo haipambani nayo!
 
CUF walifikiri ni wao tu wataendelea kuwa chama kikuu cha upinzani ujio wa Chadema na kuvuna mashabiki umewashitua zaidi.

Kama kweli ni wapinzani, otherwise naliunga mkono lile lifijana lililosema kuwa wao ni CCM B!
 
I have said this before and I will say it again, majina ya vyama vya wapinzani should only be on paper lengo lao liwe 1 permanently getting rid of CCM. Hii haitawezekana kama wapinzani watapondana na kurushiana maneno kila wakati.
 
Imenichukua muda mrefu sana kutafakari kama watanzania kweli wanataka kufanya mageuzi kwenye swala la siasa ila nilichokuja kugundua ni kwamba wapinzani wote wapo kimaslahi zaid na si kwa ajili ya maslahi ya watanzania wote nina iman kwamba vyama vyama vya upinzani visipoungana haviwezi kuingoa ccm labda tusubirie usemi wa nyerere kwamba upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm na si vyenginevyo
 
Wijwijwij :becky:,bwa ha ha haa ha ,kha !! Sasa hivi CUF ni chama kikuu cha upinzani sio Tanzania tu bali hata east africa ,ni Chama ambacho kinajulikana hadi ndani ya UN au umoja wa Mataifa kutokana na tifu zake, ila ninyi wengi wenu ni wepesi wa kusahau kwani CHADEMA ni chama cha umimi ,sisi tu ,

Yaani CHADEMA ni watu wa majigambo na kwa jinsi wanavyojisahau hujiona akuna kama wao ,hivyo pale wanapohitajiwa kuwa wakae pembeni ,huwa hawaamini kuwa katika eneo hilo wao hawana wateja na hawana nguvu ,kumbukeni tu kule Tarime CHADEMA waliachiwa na zaidi hata nguvu za wanachama wa CUF zilitumika katika kuisaidia CHADEMA na kufanikisha kuiangusha CCM ,ila wanapotakiwa na wao wakae pembeni na kusaidia ubavu ndipo wanapozua mbinde na mijineno kibao ya kujilabu.

:mad2: Data za chaguzi zote zinaonyesha bado CUF ni tishio kwa CCM na wenyewe CCM wanalielewa suala hilo ,CCM wanaelewa kuwa kizingiti kikubwa ni CUF na hawa wengine si lolote si chochote ,palipo na CUF basi CCM yupo tayari kuuwa kutumia kila kitu vikiwemo vyombo vya dola vya aina zote ,hapo panatosha kukutanabahisha kuwa CUF sio Chama cha kulumbana kwenye viriri vya majukwaa. Kama tulivyoona CHADEMA na maguruneti yao ya ufisadi ,hivi hapa tulipo tujiulize CHADEMA wamifika wapi ??? Au wamefikia wapi ???

:A S 100: Ni rahisi mtu kusema sijui kuna kesi zinaendelea zote ni sababu ya CHADEMA na CUF wamefanya nini kubwa ? CUF ni chama chenye mawazo endelevu na uwono wa mbali kinajua fika wakati wa kurusha maguruneti na yakajeruhi ,wakati ambao haujafika,,,,, ukirusha sassa hivi yote yatafulia kama yalivyo fulia ya CHADEMA.
 
Wijwijwij :becky:,bwa ha ha haa ha ,kha !! Sasa hivi CUF ni chama kikuu cha upinzani sio Tanzania tu bali hata east africa ,ni Chama ambacho kinajulikana hadi ndani ya UN au umoja wa Mataifa kutokana na tifu zake, ila ninyi wengi wenu ni wepesi wa kusahau kwani CHADEMA ni chama cha umimi ,sisi tu ,

Yaani CHADEMA ni watu wa majigambo na kwa jinsi wanavyojisahau hujiona akuna kama wao ,hivyo pale wanapohitajiwa kuwa wakae pembeni ,huwa hawaamini kuwa katika eneo hilo wao hawana wateja na hawana nguvu ,kumbukeni tu kule Tarime CHADEMA waliachiwa na zaidi hata nguvu za wanachama wa CUF zilitumika katika kuisaidia CHADEMA na kufanikisha kuiangusha CCM ,ila wanapotakiwa na wao wakae pembeni na kusaidia ubavu ndipo wanapozua mbinde na mijineno kibao ya kujilabu.

:mad2: Data za chaguzi zote zinaonyesha bado CUF ni tishio kwa CCM na wenyewe CCM wanalielewa suala hilo ,CCM wanaelewa kuwa kizingiti kikubwa ni CUF na hawa wengine si lolote si chochote ,palipo na CUF basi CCM yupo tayari kuuwa kutumia kila kitu vikiwemo vyombo vya dola vya aina zote ,hapo panatosha kukutanabahisha kuwa CUF sio Chama cha kulumbana kwenye viriri vya majukwaa. Kama tulivyoona CHADEMA na maguruneti yao ya ufisadi ,hivi hapa tulipo tujiulize CHADEMA wamifika wapi ??? Au wamefikia wapi ???

:A S 100: Ni rahisi mtu kusema sijui kuna kesi zinaendelea zote ni sababu ya CHADEMA na CUF wamefanya nini kubwa ? CUF ni chama chenye mawazo endelevu na uwono wa mbali kinajua fika wakati wa kurusha maguruneti na yakajeruhi ,wakati ambao haujafika,,,,, ukirusha sassa hivi yote yatafulia kama yalivyo fulia ya CHADEMA.[/QUOTE
Wafumbue macho. na kwa kuthibitisha hayo,hivi juzi tu tumesikia takriban viongozi wa Cuf 138,ikiwemo asilimia 74 ni viongozi wa kuchaguliwa na wananchi ktk serikali za mitaa na vitongoji,na walobaki wengi wanatarajiwa kugombea ktk uchaguzi ujao wamesekwa ndani na tena hata dhamana hawakupewa na hawana kesi yoyote. hebu niambieni kuna wa chadema aliesekwa ndani? nani tishio kwa ccm? je chadema ni ccm b?
 
upinzani wa kweli ni upi mkubwa? jaribu kufafanua. Ambao hawataki mageuzi ni! wapinzani au wapiga kura?(au mfumo mbovu wa uchaguzi uliowekwa kuifeva ccm) unaposema wanaganga njaa unamaanisha nini juhudi zote wanazofanya huzioni. Any way jaribu kuiweka hoja yako vizuri ishibe.
 
upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm na si vyenginevyo
Hili mkubwa mbona lishatimia? manake viongozi wote wa upinzani isipokuwa Mtikila walikuwa ndani ya CCM ninahakika hawa viongozi hawana makosa sisi wapiga kura ndo tuna makosa kwa kuendelea kukumbatia kasumba za kizamani na kutaka kuendeleza uozo eti kwakuwa ni chama cha wazazi wetu!
 
Mageuzi ya kisiasa hayataletwa na viongozi tu makisiasa. maana wao hawawezi kubadili mhimili. Mageuzi ya kweli yataletwa na wewe na mimi, na hili si kwa upinde walamkuki ni kwakuonyesha mabadiliko ya kweli October. Hawa viongozi wanawakilisha wana mapinduzi ila tusipo waunga mkono kazi waifanyayo wanatenda kazi bure.

Wasaa umefika kwako, mimi na yule, tuonyeshe nia ya dhati ya kulikomboa taifa hili. Tuanze leo na tuanze sasa, kwa vitendo kwapamoja tutashinda.

Yes we can
 
ok, janya ya ccm tu, mapendendekezo ya hao wakubwa (WorldBank) yalikuwa ni pamoja na kukubali kubadili mfumo wa siasa kuwa wa vyama vingi, sasa tujiulize ni kweli serikali yetu imekubali kufanya hivyo? hapo jibu ni hapa............. ndani ya vyama vilivyopo ni sehenu ya ujasusi wa serikali yetu ya ccm kutudanganya.........sasa ni jukumu letu kufanya mabadiliko ya kweli................
 
Back
Top Bottom