Field Marshall ES
R I P
- Apr 27, 2006
- 12,622
- 1,235
Je ni kweli upinzani upo Tanzania? Mwananchi unaweza kujibu na affirmative answer kuwa upinzani Tanzania upo, lakini their role is not being felt very much due to number of reasons, mojawapo ikiwa ni insolvency. They are not being suppressed by any force or political pressure group. Lakini, hivi vyama wielding their respective flags and fully registered, are facing vikwazo vingi ambavyo ni self-hurdles to the extent kwamba they have failed to emancipate themselves from such man-made hurdles!
Historia ya bongo inatuambia kuwa miaka michache to the independence of Tanganyika, kulikuwa na strong na true opposition parties, au upinzani. Kulikuwa na (UTP)-United Tanganyika Party, na pia African National Congress - (ANC), kikiongozwa na the most courageous political leader Zuberi Mtemvuu. The UTP, stood for the interests of the whites, including some well to do Asians and even some highly placed Africans, walikuwa ni wanachama wa hiki chama! Hawa Waa-Afrika walikuwa wanadanganywa na ma-DC huko kwenye rural settings na wale wa waliokuwa kwenye Civil Service walikuwa pressured by the so called Chief Secretary.
Kuonyesha how strong na influential opposition parties were wakati wa enzi hizo, kuna mfano wa safari ya Zuberi Mtevu wa ANC, alivyofunga safari kwenda kule UNO, yaani UN ya leo kule New York, ambako alikwenda ku-kuhutubia Baraza la Usalama la Umoja huo wa Dunia, ku-counter madai ya Mwalimu Nyerere ya uhuru wa nchi yetu. Yaani kupinga maneno ya Mwalimu katika kudai uhuru wetu!Sasa kama chama kama cha ANC, bongo katika miaka ya 1950s, kwa ajili ya just cause, kwa nini vyama vyetu vya upinzani leo Tanzania vimeshindwa kabisaa ku-mobilize themselves katika a stronger party that can be a threat to CCM?
Hebu fikiria kuwa leo Tanzania tuna vyama vya upinzani 23, ambavyo ni full officially registered, na ambavyo pia vinaongozwa na by credible people with acceptable educational qualifications?