murra wa marwa
Senior Member
- Apr 24, 2008
- 150
- 2
Subiri uone mimi kama nani!
Subiri uone coalition nyapara we!
Una wivu kwasababu nina coalition?
Aliyejiunga si ni profile ya rais?
Kama si yake pia ana taarifa ama pia ni matatizo yake!
Na kama anajua kuwa ana profile feki kwenye chombo kama facebook then hiyo ni crime!
Na watu tuko serious sina haja ya umaarufu!
Na mimi siogopi chochote kile mpambe nuksi we unayenifuatilia kishoga shoga!
NB:Me a small fish? You a big one huh?
Peleka majigambo ya kipuuzi hapa yenye kupitwa na wakati na ambayo yametufanya kurudi nyuma kimaendeleo kwa ufisadi!
Kama mmewatisha watanzania waliko nyumbani...Hapa mmekwama!
Kwani hatukumbuki Pinda aliposema kuwa serikali inaogopa kuwashitaki mafisadi kwasababu wana nguvu na mtandao wa kigaidi?
Kwani nani hajui kuwa kuna watu ambao si watanzania au waafrika ambao wamejiunga na group yangu huku mafisadi kama wewe mkikaa pembeni!
Nakwambia wewe unayesema ni trumpet subiri uone nitakacho pull out!
Na kama wewe ni mpambe nenda peleka taarifa kuwa time is running out and i aint scared of NO SHIT!
hizi kumbe ndio hoja za wapinzani, upinzani bado sana. Harafu wewe mushi kira mahari umo na unatumia nguvu kurazimisha unayoyataka, hivi hata siku moja umejifanyia self assessment ya mtiririko wako katika mada hasa unazozianzisha?unafikiri unaweza kuwaburuza watu unavyotaka? jukwaa rina watu wa aina nyingi na wanaojua mambo zaidi ya unavyovikiri wewe, unaiga utu wa mtu au ni utu wako ndio unakutuma kumwaga upupu humu jukwaani. Kumbuka sio razima wote tuwe na mawazo ya aina yako, na sio razima kushindwa mada basi uanze kuwasema wenzio hawana hoja na wakae pembeni wakati wewe mwenyewe kuweka hoja ni matatizo, are you an undergrad trying to learn how to compose an easy, you fumble a lot na nina shaka na performance yako na social life yako, what is that you want so hard to achieve? the majigambo you have wont bring you far brother, your personality is reflected much by your temper showing who you real are.