Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

Kitila,
Kama kawaida yetu, usipende kuvivua vyama vya upinzani majukumu yao ya kuongoza. Ndiyo, kazi ya kuwaondoa CCM ni ya wananchi wa kawaida kama akina Kalamu, wanaohitaji kuongozwa kutimiza lengo hilo. Hata vitani, jeshi haliendi kiholela tu, eti kwa kumwona adui alipo.

Ndio, kati yetu, hata sisi raia, kila mmoja wetu anao wajibu katika ngazi mbalimbali; na hasa "tukishaunganishwa" na NGOs, viongozi wa dini, na kwa sehemu kubwa zaidi na majemedari wetu, wanasiasa wa vyama vya upinzani. Afterall, hawa wanayohadhi tofauti kabisa katika jamii hii. Wamejitoa wenyewe kuifanya siasa iwe ndio kazi yao. Ni lazima jasho liwavuje. Ingekuwa ni katika enzi za kupigania uhuru, ni hawa hawa ndio wangekuwa tayari kuweka maisha yao juu ya mstari, kuikomboa nchi yao.

There is no justification, no excuse whatsoever, that can adequately explain the impotence displayed by our opposition parties, even in dismaying moments such as the type we are experiensing at this moment.
 
hizo ndio gharama ndogo ndogo za kulipa ktk mapambano kama haya.......ndio maana ni busara kutumia jina kivuli ili kuepusha wasio husika (ndugu jamaa na marafiki) kukamatwa kwenye crossfire. huyo kaka lako, wanamchimba biti tu........kanyaga twende!!!

Tunampa Mh Rais wiki mbili unusu alizosema Mwafrika wa kike ama sivyo naanzisha petition hapa Marekani...Halafu tujue na huyo Balali yuko wapi!
Dead or alive!
WE WANT HIM!
Hatutaki visingizio vya eti yeye ni small fish!
Sasa small fish si ndio chambo ili kuweza ku mcatch big fish?
 
Ni wiki mbili unusu Mh Rais atoe ripoti ya kamati ya madini la sivyo mapambano haya yanakwenda kwenye next level ambayo mgogoro huu utakuwa mzito zaidi!
 
Acha vilio kama mtoto mchanga!

Nini kinakuzuia kuendelea kuchangia hapa?

Wewe nilishakujibu, hii inatoka kule "Vyama vya upinzani bado sana.."https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=13385&page=13 Ndio maana nilitaka ile thread ibaki pale ili tusichanganye mambo na kupoteza mtiririko wa hoja. Kule nilikujibu hivi:

Sijashindwa kuchangia, siku nyingine ukianzisha thread si lazima kuwa wewe ndio una majibu yote. Kukaa kimpya sio kuwa sijui, ninajifunza mengi nikisikiliza watu wengine sometimes..let other people express their opnion, hayo ndio matatizo ya madictator
 
Kwasababu hata ndugu zangu wameshaanza kulalamika huko bongo wakinitaka niiondoe ile group niliyoianzisha huko facebook!

Ni sawa kabisa ndugu zako kuwa na wasiwasi. Mimi hunijui, lakini sasa hivi nikitaka kujua unapolala haitonichukua dakika 3 kwa sababu umeweka information zingine unneccesarily, vitu vingine ni private.

Hizi forums kuna kila aina ya watu wanaingia kusoma au kuchangia mijadala. Wengine hapa wanataka umaarufu kwenye mtandao (cyber celebrites), hawa wengi wao ni young and immature. Kwa mfano kule kwenye facebook wata wa add watu wasiowajua kama vile ni marafiki zao. Jamani kwenye mtandao kuna mambo mengi, kuna watu wanaiba identity za watu (identity fraud) kuchukua mikopo, credit etc. Mimi na wengine wengi tu hapa JF hatu tumii majina yetu sio kwa sababu ya woga, lah, ndugu yangu, kwenye vita lazima you take cover and precaution.
 
Shy,
Ni kweli bado kuna changamoto ktk vyama vyetu vya kisiasa, bado hatujaona jitihada za makusudi ili kuleta upinzani wa dhati kwa chama cha CCM, ila sasa kama vyama hivi vitajikita ktk lasilimali watu na kusahau maslahi huenda 2020 tukawa na upinzani wa kweli, na kama si hivyo basi tutaendelea kupiga kelele na hakuna lolote litakalobadilisha hali hii.
 
Ni sawa kabisa ndugu zako kuwa na wasiwasi. Mimi hunijui, lakini sasa hivi nikitaka kujua unapolala haitonichukua dakika 3 kwa sababu umeweka information zingine unneccesarily, vitu vingine ni private.

Hizi forums kuna kila aina ya watu wanaingia kusoma au kuchangia mijadala. Wengine hapa wanataka umaarufu kwenye mtandao (cyber celebrites), hawa wengi wao ni young and immature. Kwa mfano kule kwenye facebook wata wa add watu wasiowajua kama vile ni marafiki zao. Jamani kwenye mtandao kuna mambo mengi, kuna watu wanaiba identity za watu (identity fraud) kuchukua mikopo, credit etc. Mimi na wengine wengi tu hapa JF hatu tumii majina yetu sio kwa sababu ya woga, lah, ndugu yangu, kwenye vita lazima you take cover and precaution.

Information gani unneccessary?
Mimi hapa siko kutoa siri niko kwenye mapambano!
FIY..You're more than welcome if you wanna visit me in any ways you see fit!
I aint scared of NO SHIT!
 
Na pia usijidanganye kuwa sifahamu wewe ni nani!
Usifikiri kuwa people is not intelligent!
 
Na ukitaka kujiodoa miongonii mwa marafiki fanya tu!
Kwasababu we ni mnafiki!
Kujipendekeza kwenu kumepelekea dhahma ya ufisadi tunayokumbana nayo kwasababu ya matraitors kama nyie!
Na kwa taarifa yako we umekimbia lakini muugwana kajiunga na sasa tunasubiri maneno!
Na coalition ninayo nyapara we!
Do not underestimate the resolve of a new generation!
Umepitwa na wakati wewe!
 
Information gani unneccessary?
Mimi hapa siko kutoa siri niko kwenye mapambano!
FIY..You're more than welcome if you wanna visit me in any ways you see fit!
I aint scared of NO SHIT!

You know exactly what am talking about..and you know what changes you've made so far..stop tripping!
 
Na ukitaka kujiodoa miongonii mwa marafiki fanya tu!
Kwasababu we ni mnafiki!
Kujipendekeza kwenu kumepelekea dhahma ya ufisadi tunayokumbana nayo kwasababu ya matraitors kama nyie!
Na kwa taarifa yako we umekimbia lakini muugwana kajiunga na sasa tunasubiri maneno!
Na coalition ninayo nyapara we!
Do not underestimate the resolve of a new generation!
Umepitwa na wakati wewe!

Sijawai kuwa rafiki yako kwa hiyo sina haja ya kujiondoa miongoni mwa marafiki zako. Nyapara?umepitwa na wakati? You are loosing it, you need help
 
Ni sawa kabisa ndugu zako kuwa na wasiwasi. Mimi hunijui, lakini sasa hivi nikitaka kujua unapolala haitonichukua dakika 3 kwa sababu umeweka information zingine unneccesarily, vitu vingine ni private.

Hizi forums kuna kila aina ya watu wanaingia kusoma au kuchangia mijadala. Wengine hapa wanataka umaarufu kwenye mtandao (cyber celebrites), hawa wengi wao ni young and immature. Kwa mfano kule kwenye facebook wata wa add watu wasiowajua kama vile ni marafiki zao. Jamani kwenye mtandao kuna mambo mengi, kuna watu wanaiba identity za watu (identity fraud) kuchukua mikopo, credit etc. Mimi na wengine wengi tu hapa JF hatu tumii majina yetu sio kwa sababu ya woga, lah, ndugu yangu, kwenye vita lazima you take cover and precaution.

Hapo nilikupa ushauri ambao umesharekebisha kule facebook. Mnyapara na nimepitwa na wakati yametoka wapi? Maliza masomo yako, usijekujidanganya kuwa wewe sasa ni maarufu na kujivunia kuwa ata muungwana yuko na wewe..wewe kama nani? don't blow your own trumpet, you are a very small fish...
 
Subiri uone mimi kama nani!
Subiri uone coalition nyapara we!
Una wivu kwasababu nina coalition?
Aliyejiunga si ni profile ya rais?
Kama si yake pia ana taarifa ama pia ni matatizo yake!
Na kama anajua kuwa ana profile feki kwenye chombo kama facebook then hiyo ni crime!
Na watu tuko serious sina haja ya umaarufu!
Na mimi siogopi chochote kile mpambe nuksi we unayenifuatilia kishoga shoga!

NB:Me a small fish? You a big one huh?
Peleka majigambo ya kipuuzi hapa yenye kupitwa na wakati na ambayo yametufanya kurudi nyuma kimaendeleo kwa ufisadi!
Kama mmewatisha watanzania waliko nyumbani...Hapa mmekwama!
Kwani hatukumbuki Pinda aliposema kuwa serikali inaogopa kuwashitaki mafisadi kwasababu wana nguvu na mtandao wa kigaidi?
Kwani nani hajui kuwa kuna watu ambao si watanzania au waafrika ambao wamejiunga na group yangu huku mafisadi kama wewe mkikaa pembeni!
Nakwambia wewe unayesema ni trumpet subiri uone nitakacho pull out!
Na kama wewe ni mpambe nenda peleka taarifa kuwa time is running out and i aint scared of NO SHIT!
 
Ok.. I think somebody need to be temporarily banned.. nyinyi wawili kama mna matatizo yenu peaneni namba za simu halafu mtunishiane misuli. Tutaanza kutovumilia haya mambo ya kuoneshana nani ni jogoo zaidi humu.

Tafadhali kama mmeshindwana kwa hoja yaishe msonge mbili.
 
sasa huoni huyu jamaa anakuja kunitisha huku simply kwasababu anajua identity yangu?
Sasa kosa langu wapi pale ninapojitetea?
Kama ni kufungiwa na unaona mimi ndio mwenye makosa then you can just go ahead mwanakijiji!
 
Itachukua miaka kama 20 kwa upinzani kuwa tayari kuchukua dola Tanzania. Kwa sasa tutaendelea na ccm yetu na wenye wivu wakome na walegee
 
Hapo nilikupa ushauri ambao umesharekebisha kule facebook. Mnyapara na nimepitwa na wakati yametoka wapi? Maliza masomo yako, usijekujidanganya kuwa wewe sasa ni maarufu na kujivunia kuwa ata muungwana yuko na wewe..wewe kama nani? don't blow your own trumpet, you are a very small fish...

Matusi ya nini tena jamani?
 
Subiri uone mimi kama nani!
Subiri uone coalition nyapara we!
Una wivu kwasababu nina coalition?
Aliyejiunga si ni profile ya rais?
Kama si yake pia ana taarifa ama pia ni matatizo yake!
Na kama anajua kuwa ana profile feki kwenye chombo kama facebook then hiyo ni crime!
Na watu tuko serious sina haja ya umaarufu!
Na mimi siogopi chochote kile mpambe nuksi we unayenifuatilia kishoga shoga!

NB:Me a small fish? You a big one huh?
Peleka majigambo ya kipuuzi hapa yenye kupitwa na wakati na ambayo yametufanya kurudi nyuma kimaendeleo kwa ufisadi!
Kama mmewatisha watanzania waliko nyumbani...Hapa mmekwama!
Kwani hatukumbuki Pinda aliposema kuwa serikali inaogopa kuwashitaki mafisadi kwasababu wana nguvu na mtandao wa kigaidi?
Kwani nani hajui kuwa kuna watu ambao si watanzania au waafrika ambao wamejiunga na group yangu huku mafisadi kama wewe mkikaa pembeni!
Nakwambia wewe unayesema ni trumpet subiri uone nitakacho pull out!
Na kama wewe ni mpambe nenda peleka taarifa kuwa time is running out and i aint scared of NO SHIT!

Shoga ni wewe mtoto wa kichaga, umekosa hoja sasa umekalia kila mtu fisadi. Kila mtu ana uhuru wa kujiunga ua kutojiunga, it is a matter of choice.Yani umeona watanzania walioko nymbani ni waoga? Wana JF naomba mniwie radhi,nakubali kabisa haya malumbano hayafai hapa
 
Mods mgefunga hii thread maana hakuna anayechangia zaidi ya kuwapa hawa watu wawili uwanja wa kutunishiana misuri.
 
Back
Top Bottom