jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
Bila kuwataja hao watu wasiotaka haki isitendeke inaonesha uoga au heshima kwa hao watu?
Halafu hujasoma hii posting yangu?
jmushi
Nadhani tumekumbana kule facebook!
Mimi ndugu yangu nimeshaweka wazi kuwa tumempa Mh Rais muda ili awashughulike mafisadi!
Na asipofanya hivyo...Mimi si wa kulaumiwa!
Halafu si ana facebook page?
Ama ni fake?
Hilo ni juu yake!
Tunataka ripoti ya kamati ya madini