Sikiliza mapambano..
Miraji Kikwete ni mmojawapo wa marafiki wangu wa facebook...
Na kuna profile ambayo inaonyesha kuwa ni ya mzee wake mh Rais.
Sina uhakika kama ni credible profile ama la!
Ila kama isingekuwa credible ingeshafutwa already!
Kwa hiyo basi..Wao pia niliwaalika kwenye grupu!
Hawajajiunga...Ila najua members family wengi wa Muungwana ni supporters wa Hilarry Clinton.
Ila nilisikitishwa pale Muungwana mwenyewe aliposhindwa kuweka wazi mbele za Bush kuwa Demokrasia ya kweli inaelekea kufanya kazi kwani sasa kuna mgombea mweusi mwenye nafasi kubwa ya kuwa rais!
Badala yake..."I can not venture in that territory"
Yani wengine wanye na kuifisadi teritory yetu halafu sisi tusiyasifie yale mazuri hata kama hayatawafurahisha kwa muda mfupi?