Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

Kitila mimi na wewe ni Wapinzani na hatuna connection na system anasemaje jamaa ?.

Nyie mnao ngojea maneno ya Mwalimu yatimie fikeni mahali mbadilike si kila nabii alitabiri yaliyo tokea. Tumemuona Nabii mmoja muongo hapa JF na kalala mbele naye tuamini na tungoje ?
Mimi nnasema hivi, wapinzani tu/wafanye kila njia (za halali) wawatowe hao viongozi waliopo kwenye system, tuanzie hapo. Mimi nimeanza kuwatanabahisha kwa niliyoambiwa na mmoja wao. Na waswahili wanasema "lisemwalo lipo na kama halipo, linakuja" Jee, huijuwi system ni nini?
 
Zomba unajichanganya sana kwani unasema huvisemi vyama bali unawasema viongozi wao ile hali kichwa cha mada yako kimesema naomba kunukuu....UPINZANI HAKUNA TANZANIA NI UONGO MTUPU......

kama ulimaanisha viongozi kwa nini hukusema viongozi wa u[pinzani ni system na sio kuweka general kama ulivyofanya .

'watakuwa tayari kuwatetea mafisadi kwa sababu hawawezi kuishi bila kuwasujudu mafisadi>
Kama uongozi ni system na uongozi ndio sauti ya wanachama basi vyama havina upinzani, na wala si contradiction ni fact iliyowazi kabisa. Au huijuwi system ni nini?
 
Zomba unatushauri nini sasa???????? Tuachane na vyama hivi vilivyoundwa na system au???? Please tuambie unafikiri tufanye nini ilituinusuru nchi kwenye makucha ya mafisadi, TUAMBIE MWANANGU!!!!!!!!
 
Kama uongozi ni system na uongozi ndio sauti ya wanachama basi vyama havina upinzani, na wala si contradiction ni fact iliyowazi kabisa. Au huijuwi system ni nini?
__________________
Hapa unaniacha hoi kabisa bin taabani unajichanganya sana sana ....

Kumbe na wewe ni system at work......
 
mpaka kieleweke, sikuchanganyi wala sijichanganyi kaka, ni kuwaondowa tuu hao viongozi walio kwenye system. Mpaka ieleweke system ni nini?
 
SIKATAI WALA SIKUBALI KUWA SYSTEM NDIO ILIVIANZISHA KWA KUWA USHAHIDI NI WA MAREHEMU AMBAYE SIJUI KAMA ALIMPA KAMA SEHEMU YA WOSIA AU ALIMWAMBIA KAMA MWANDANI WAKE.LAKINI SIJAONA MAHALI WALIITWA VIONGOZI WENGI WA UPINZANI IKULU NA MZEE MAGUTO KUITWA KWAKE HAKUMAANISHI KUWA VIONGOZI WOTE WALIITWA NA WALA HAKUMAANISHI KUWA KUITWA NI ZOEZI ENDELEVU ATA WALIOZALIWA JUZIJUZI MRADI NI UPINZANI WATAITWA KUPEWA MAELEKEZO.NA WALA HAIMAANISHI KUWA KAMA WALIWAANZISHA BADO WANAWENZA KUWACONTROL MPAKA SASA,NI KAMA VILE WALIANZISHA JAMBO WASILOWEZA KULICONTROL ANYMORE......HOWEVER,TATIZO KUBWA LA VYAMA VYA UPINZANI NI KUONGOZWA NA REJECTED MATERIALS YA CCM,GANDA LA MUA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO.
MATARAJIO YANGU NI KWA KIZAZI KIPYA CHA KINA ZITO,MNYIKA,AMBAO SEHEMU KUBWA YA MAISHA YAO YAMEKUWA NI NDANI YA UPINZANI NA PENGINE WATAZEEKA WAKIWA BADO NI UPINZANI.LAKINI SIYO KINA SLAA,MBOWE,SHARRIF,DK MASHA NA KINA CHEYO NA ATA WASOMI KAMA KINA DK CHEMPONDA
wewe si ushasema, wewe mwenyewe fisadi, sasa nikuelewe vipi? au huijuwi system ni nini?
 
Unazungumzia system ipi kati ya nyingi zilizopo .

Unazungumzia system kwenye modal ipi? cybernatic modal,.ombudsman modal ?ama modal ipi?
 
Zomba unatushauri nini sasa???????? Tuachane na vyama hivi vilivyoundwa na system au???? Please tuambie unafikiri tufanye nini ilituinusuru nchi kwenye makucha ya mafisadi, TUAMBIE MWANANGU!!!!!!!!
Usauri wangu ni kwa kuanzia, tuwatowe hawa viongozi wote wanaosemekana wapo kwenye system tuwachaguwe viongozi wapya, mfano Zitto, sijasikia ubaya wake mpaka sasa na kigezo changu ni kuwa, hakuwepo kwenye vyama vilipoanzishwa, kakulia wakati upinzani upo na kama sikosei kishatiwa misukosuko kwenye chama chake na hao waliopo kwenye system, mbali na misukosuko ya six na wenzake. Na mpaka sasa kasimama imara. Nadhani wapo vijana wengi kama Zitto lakini wanabanwa na hao viongozi wa upinzani waliopo kwenye system. Jee huijuwi system ni nini?
 
Unazungumzia system ipi kati ya nyingi zilizopo .

Unazungumzia system kwenye modal ipi? cybernatic modal,.ombudsman modal ?ama modal ipi?
Thanks for your good question:

Generally, Political System.

Jee, unaijuwa system ni nini?
 
Na ukome nani kakwambia kuwa mimi ni kaka?
Samahani sana, dada! nimekoma. Duuh, haya yamekuwa mambo tena. Usichukulie vibaya kukuita kaka, nisamehe sana, mimi ni binadamu na binadamu hufanya makosa, naomba radhi kwa hilo. Sasa sijuwi ni dada? ahhh, kama na dada siyo basi utanisamehe (in advance)kwa hilo pia.
Au hujuwi system ni nini?
 
Vyama vyoooote vya upinzani Tanzania "vilianzishwa na system", na hii niliambiwa na rafiki yangu aliyekuwa mwenyekiti wa NCCR kabla ya mrema, mzee Kassim Maguto (M/Mungu amsamehe dhambi zake na amuweke pema peponi, Amin.).

Vyama ambavyo havikuwa kwenye system vilishindwishwa kuanza, havikusajiliwa mpaka leo hii.

kwa kifupi, upinzani kwa sasa hakuna kabisa Tanzania, kuna kina sisi huku nje tunaeshangilia siasa kama mpira tuu, tukijuwa nini kinachoendelea na kuna wengi sana wenye kupandisha hasira na ghadhabu, wasiojuwa nini kinaendelea.

Narudia, upinzani kwa sasa hakuna Tanzania. Si CUF, si Chadema, Si NCCR wala si kingine chochote chenye usajili ambacho hakina viongozi ambao wapo kwenye system.

kwa kifupi, si mbowe, si lipumba, si sharif, si mrema, wote hao ni system (according to Marehem Kassim Maguto) ambae na yeye mwenyewe alikiri kuwa ni system wa miaka mingi na alinipa siri kuwa aliitwa Ikulu kuelekezwa waanzishe vyama vya upinzani na wakawa wanafundishwa kila kukicha ni nini cha kufanya na funds zote zikatoka huko, kwa vyama vyote vilivyosajiliwa.

kuna baadhi ya wanachama (wengi tuu) ambao masikini hawalijuwi hili, wapo kwa nia moja ya upinzani na wapo tayari kufa lakini masikini roho zao, laiti wangelijuwa hili nadhani wasingekuwa na hamu hata ya siasa.

Enyi kina Lipumba, Sharifu, Mbowe na Mrema wacheni dhulma hii, haya mnayajuwa lakini mtasababisha watu wauwane bure wakati nyinyi mnajuwa nini mnakifanya. Hebu rudini kwa mola wenu kabla ya watu wasiyoyajuwa haya hawajaanza kughadhibika na kumwaga damu.

Na hayo yote yalipangwa na kuanzishwa na nyerere, ndio maana ufisadi haufi Tanzania na aliyeuanzisha huo ufisadi ni nyerere.

Naapa kuwa hayo yote niliyoyasema ni kweli tupu.

Jee, hamjuwi system ni nini?
Kaka/Dada

Nakubaliana na wewe kua hakuna upinzani ila ktk Ground tofauti na yako.

Mimi nachojua ni kua nchii hii inawapinzani wa kweli ambao ni CUF tena agenda yao iko wazi ni VISIWANI, lakini hivi vingine ni vyama vya MUUNGANO WA WATU WA KILIMANJAROOO.

Najua MWK atakuja speeeeeeeeeeeed na kujenga hoja hapa ktk hili lakini asisahau. CHADEMA ni MBOWE and Family,NCCR,TLP,PPT, 90% YA VYAMA VYA UPINZANI NI FROM KILIMAJARO na SASA baba wa uchagani MENGI TUNAFAHAMU KWA KIWANGO GANI ANASAIDIANA NA WENZIE.

So wa bongo wenzangu humu JF ni vizuri tukaviangalia vyama hivi na kutuonyesha anagalau agenda yao kama CUF ili tujue wazi.

I accept hatuana wapinzani thats why sisi CCM tunaendelea na agenda zetu kuwasaidia wakulima huko vijijini badala ya kuvisaidi vyama hivi vikue bcs tutakua tunakuza magenge ya KILIMANJARO.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Mtazamo wangu: Kwa sasa upinzani bado ni mchanga mno. Upinzani wa kweli utatokea pale chama tawala kitapomeguka na baada ya hapo itachukua miaka kama kumi ya kupata upinzani wa kweli.
Kinachoondelea sasa hivi ni kwamba walio wengi ni wapinzani kwa maslahi binafsi.
Asante sana kwa muono wako juu ya hili.Hata hivyo uchambuzi wako uko chini ya kiwango maana hujaeleza hiyo miaka kumi unayoipanga wewe umetumia kigezo gani?
 
Mtazamo wangu: Kwa sasa upinzani bado ni mchanga mno. Upinzani wa kweli utatokea pale chama tawala kitapomeguka na baada ya hapo itachukua miaka kama kumi ya kupata upinzani wa kweli.

Haya bwana, je hicho chama tawala kisipomeguka? Je, tunaweza kutoka kidogo nje kidogo ya box? Je, mambo yote aliyewahi kuongea Nyerere ndo yakawa au ndivyo yalivyo au ndiyo yalikuwa sahihi? Bahati mbaya mambo mengi aliyoyasema Nyerere Tanzania hayakuwahi kufanyika ukianzia na ujamaa, kuhamisha watu kwenda vijijini, azimio la arusha, n.k. I mean tunampenda na kumheshimu sana Nyerere lakini haina maana kwamba alichoongea yeye almost 20 years ago lazima kiwe hivyo leo. Vilevile haina maana Nyerere aliondoka na uwezo wetu wa kufikri, tunaweza na sisi kufikiri na pengine tukafikiri vizuri zaidi kuliko yeye ukizingatia kwamba sisi tuna nyenzo nyingi zaidi za kutuwezesha kufikiri kuliko wakati wake. Tutoke nje ya box, hizi nyimbo za utabiri wa Nyerere, wapinzani bado wachanga, na blablah nyingi hazitusaidii sana. Ni kweli CCM ni wazoefu na wakomavu, lakini tujiulize ni wazoefu na wakomavu katika nini? Tufike mahala tuseme sasa mazoea basi, tunataka mabadiliko. Kuogopa mabadiliko ni kuogopa maendeleo.

My poor Tanzania and Tanzanians, God help us!
 
Kitila tumekuwa na miaka lukuki ya multi parties? Kwa nini hadi sasa hatujawa na vyama vya upinzani imara? Ukiangalia Bungeni idadi ya wapinzania, aidha imepungua au imebakia pale pale. Tatizo ni nini? Hakuna wakereketwa? Tatizo la sera? Fedha? Dola kubana vyama vya siasa?
Ni hasa ni tatizo?
 
Kaka/Dada

Nakubaliana na wewe kua hakuna upinzani ila ktk Ground tofauti na yako.

Mimi nachojua ni kua nchii hii inawapinzani wa kweli ambao ni CUF tena agenda yao iko wazi ni VISIWANI, lakini hivi vingine ni vyama vya MUUNGANO WA WATU WA KILIMANJAROOO.

Najua MWK atakuja speeeeeeeeeeeed na kujenga hoja hapa ktk hili lakini asisahau. CHADEMA ni MBOWE and Family,NCCR,TLP,PPT, 90% YA VYAMA VYA UPINZANI NI FROM KILIMAJARO na SASA baba wa uchagani MENGI TUNAFAHAMU KWA KIWANGO GANI ANASAIDIANA NA WENZIE.

So wa bongo wenzangu humu JF ni vizuri tukaviangalia vyama hivi na kutuonyesha anagalau agenda yao kama CUF ili tujue wazi.

I accept hatuana wapinzani thats why sisi CCM tunaendelea na agenda zetu kuwasaidia wakulima huko vijijini badala ya kuvisaidi vyama hivi vikue bcs tutakua tunakuza magenge ya KILIMANJARO.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Duhhh, hapo umenimaliza. Ukweli ni kwamba sijawahi kutazama kwa muono huo, lakini hoja yangu ni kama signature yako "...bad leadership..." Au huijuwi system ni nini?
 
Haya bwana, je hicho chama tawala kisipomeguka? Je, tunaweza kutoka kidogo nje kidogo ya box? Je, mambo yote aliyewahi kuongea Nyerere ndo yakawa au ndivyo yalivyo au ndiyo yalikuwa sahihi? Bahati mbaya mambo mengi aliyoyasema Nyerere Tanzania hayakuwahi kufanyika ukianzia na ujamaa, kuhamisha watu kwenda vijijini, azimio la arusha, n.k. I mean tunampenda na kumheshimu sana Nyerere lakini haina maana kwamba alichoongea yeye almost 20 years ago lazima kiwe hivyo leo. Vilevile haina maana Nyerere aliondoka na uwezo wetu wa kufikri, tunaweza na sisi kufikiri na pengine tukafikiri vizuri zaidi kuliko yeye ukizingatia kwamba sisi tuna nyenzo nyingi zaidi za kutuwezesha kufikiri kuliko wakati wake. Tutoke nje ya box, hizi nyimbo za utabiri wa Nyerere, wapinzani bado wachanga, na blablah nyingi hazitusaidii sana. Ni kweli CCM ni wazoefu na wakomavu, lakini tujiulize ni wazoefu na wakomavu katika nini? Tufike mahala tuseme sasa mazoea basi, tunataka mabadiliko. Kuogopa mabadiliko ni kuogopa maendeleo.

My poor Tanzania and Tanzanians, God help us!
KITILA KITILA KITILA

KTK HILI LA VYAMA NA VIONGOZI WEWE UNGENYAMAZA KABISA KILA WAKATI NAKUKUMBUSHA KUA HISTORIA YAKO INAKUHUKUMU KTK HILI.

KUMBUKA ULIKUA IYENA IYENA UCHAPWA KTK UCHAGUZI UKAKIMBILIA CHADEMA CHAMA CHA WACHAGA, ONLY STRONG PPLE LIKE CHACHA NDO WANA SURVIVE HUKO.

PIA KUMBUKA PESA ULIZOPEWA WAKATI WA UCHAGUZI DARUSO ULIZOPEWA NA CCM LEO UPO CHADEMA

WEWE UNYAMAZE.
 
Kuna upinzani wa dhati katika nchi hii ambao upo Zanzibar tu isipokuwa walioshika mpini hawakutaka kuuachia.Mkapa ambaye alikuwa kinara wa mauaji ya wapinzani huko Zanzibar sasa hivi nasikia anapatanisha Wakenya katika suala kama lile la wizi wa kura.Ameweza kuepuka mahakama ya The Hague sasa anapalilia hatma yake huko Kenya kama vile ni mtu wa amani.
Kwa Tanganyika upinzani wa kweli hakuna na sababu ni kuwa watu wa huku ni ndoho taabu...yaani hawajui haki zao wala kinachoendelea,ni watu wa kuitikia tu.Kikubwa zaidi ni katiba iliyopo ambayo kimsingi ni ya chama kimoja lakini imewekwa mapambo.Ili kuwa na upinzani wa kweli lazima katiba ibadilishwe na wale tunaowategemea yaani wananchi wa nji hii ndiyo haooo...wemye tatizo la uelewa wa mambo.Kwamba system imepanga inawezekana katika baadhi ya vyama lakini si vyote kwani kama system ingepanga CUF kuwa ni mwenza basi damu za wananchi wa visiwani ingekuwa spared.Ni asilimia ndogo sana ya watu ambao wana mwamko elimu ya siasa amabo mmoja wao anaweza kuwa ndugu huyu anayelalamikia kutokuwepo na upinzani.tatizo lake hajui kuwa wananchi wa Tanzania hawana habari na mamabo ya kiutawala wala hawajui nini maana ya uongozi unaotokana na wananchi.Cheki idadi ya wabunge wa CCM na wale wa upinzani utajua kuwa hapa kuna kazi kubwa ya kuwaamsha asilimia kama 85 hivi ambao wamelala fo fo fo.
 
...hata mseme nini mimi naamini upinzani upo tena strong,well & alive,bila upinzani humu mngekuwa mnaongelea mashairi ya kusifu CCM tuu...nani kaibua Buzwagi? BOT? hata ile minofu ya samamki nasikia ilikuwa kweli ila basi tuu,polepole wajomba sio lazima upinzani uingie ikulu ndio muone upo..wanajitahidi sana nawanahitaji support ile waendelee kutungua mabomu.
 
Back
Top Bottom