100% True..Serikali huenda kuna kitu wanakijua kuhusu huo ugonjwa so wakaamua kucheza na saikolojia za watu, huku wakihimiza tahadhari ikiwa kama njia ya kufanya chochote kitu mixer maombi na nyungu.
Kusema kinga duh! Napata hofu kidogo maana hao wazungu hula vyema Sana mazoezi n.k kushinda huku ambapo wengi wao kula nini huchaguliwa na maisha na si kuchagua!.. mi nahisi kuna namna nyengine zaidi ya hizi tunazoziona kuhusu huu ugonjwa.
Huu mtego nashukuru Rais wetu kautegua.Maambukizi ya Kenya hayajafikia Brazil, Brazil wanakufa 500 kwa siku.
Daah leo umetoa madini ya maana kuliko ungeongelea lissu hapa ungetoa upolote mtupu safi sana shangaziye mtuKuna mtaalamu WHO alisema Afrika kinachotusaidia ni
1. Vyakula tunavyokula, vinatoka shamba moja kwa moja havisindikwi...
Kuna ndugu yako kafaKitendo tu Cha kuficha takwimu kikupe tu jibu kuwa corona ipo sana hapa na inatafuna watu.Corona haikuwa mkondo wa upepo kwamba inapita tu na ikishapita haigeuki nyuma.
Acha tuendelee kujitoa ufahamu Ila siku ikiguza penyewe tutaanza kuipa heshima yake
Corona bado ipo sema watu wanakufa kimyakimya kwa manufaa ya kisiasaHello JF,
Ningependa kujua out of curiosity,nini kimeiondoa corona Tanzania? Je, Nyungu ilisaidia? Watu kuhimizwa kula tangawizi na malimao?
Na watu wakachukulia serious kula tangawizi na malimao. Hivyo miili yao ikajijenga ku fight virus? Ama watu walichukulia serious kuosha mikono na kuvaa barakoa hivyo rate ya maambukizi ikapungua? Nini hasa kilichoiondoa Corona Tanzania?
Its good to know, ili janga liingine likija, we use the same strategies.
Kweli watu wanakufa kimyakimya kama wanavyokufa kwa saratani, sukari, presha, malaria na mengineCorona bado ipo sema watu wanakufa kimyakimya kwa manufaa ya kisiasa
Sasa mkuu ikiwa hiyo issue ya gongo ulishindwa kujua miaka yote hiyo,je katika hili la corona umewezaje kujua kuwa ipo ila inafichwa?Kuna mama mmoja alikuwa jirani yangu, kwake wageni hawaishi kumbe kisiri siri alikuwa akipika gongo na kuuza hapo hapo nyumbani kwake kwa miaka zaidi ya 30.
Katika maisha yangu yote sikuwahi kujua wala kuhisi huyo mama alikuwa akifanya hayo mpaka siku alipofariki ndio nikasikia watu fulani mitaa ya mbali sana wakipiga story za mama muuza gongo kafariki mtaani kwetu. Nilistuka kusikia jina lake likitajwa, nilipoamua kufanya udadisi sana nikajagundua hadi manjagu walikuwa wakifika kwake kunywa gongo!
Kinachoendelea kuhusu Corona hapa Tz ni kitu kama hicho.
Tatizo hutuwezi kutofautisha kuwepo kwake na kutokuwepo kwake,tokea kipindi kile mwanzoni wakati tunapima na kutoa takwimu na hospitali zilikuwa na wagonjwa wa corona kabisa,bado huku mitaani hakukuwa na wingi wa vifo. Na vifo vilivyokuwa vinatangazwa tulikuwa tunaambiwa hao marehemu walikuwa na maradhi mengine(hata Kenya ni hivyo hivyo) na tunajua hayo maradhi yalikuwa yanauwa kabla hata kuwepo corona.Nani kasema imeondoka??
Ndugu yangu ukiamini kuwa corona imeondoka Tanzania utakuwa unaamini ndivyo sivyo kama ulimfuatilia Dr. Janabi wa Taasisi ya moyo ya Jakaya kikwete alizungumza vizuri sana kuhusu hili na alisema asilimia kubwa wataugua na watapona na asilimia chache watalazwa na kupona na asilimia chache pia watalazwa na kufariki sikumbuki exactly figure lakini alisema haya ukitafuta hii habari utaelewa kwani kinachokuaminisha imeisha sio kipimo sahihi cha kujua kama ugonjwa upo au laa( nakushauri endelea kuchukua tahadhari).Hello JF,
Ningependa kujua out of curiosity,nini kimeiondoa corona Tanzania? Je, Nyungu ilisaidia? Watu kuhimizwa kula tangawizi na malimao?
Na watu wakachukulia serious kula tangawizi na malimao. Hivyo miili yao ikajijenga ku fight virus? Ama watu walichukulia serious kuosha mikono na kuvaa barakoa hivyo rate ya maambukizi ikapungua? Nini hasa kilichoiondoa Corona Tanzania?
Its good to know, ili janga liingine likija, we use the same strategies.