Nini hasa kimeondoa Corona Tanzania?

Nini hasa kimeondoa Corona Tanzania?

Mwanzo waliamini Corona haiui watu weusi, na huu ndio ukweli.
Kule South Africa ilikouwa watu wengi sana kwa Africa imeuwa watu weupe tu?
Kuna mambo lazima tuyachunguze sana kwa jicho la mwewe au tai.

Kila siku vyombo vya habari vya magharibi vilitabiri South Africa (SA) na Nigeria ndiyo mataifa ambayo yataweza kupambana na COVI-19 sababu wao wana maabara nzuri za kisasa za kupima COVID-19 pamoja na uchumi mkubwa.

Wakaenda mbali zaidi wakasema SA wanauchumi mkubwa, huduma bora za afya na vifaa vya kutosha kuhudumia wagonjwa wengi kwa pamoja.
Kilichotokea Mungu anajua, SA ndiyo inaongoza kwa kuathiriwa na COVID-19 hapa Africa. Vifo vingi sana vinafikia 5368, maambukizi jumla 381,798 hiyo takwimu kufikia leo 22/07/2020.
 
Kuna mama mmoja alikuwa jirani yangu, kwake wageni hawaishi kumbe kisiri siri alikuwa akipika gongo na kuuza hapo hapo nyumbani kwake kwa miaka zaidi ya 30.

Katika maisha yangu yote sikuwahi kujua wala kuhisi huyo mama alikuwa akifanya hayo mpaka siku alipofariki ndio nikasikia watu fulani mitaa ya mbali sana wakipiga story za mama muuza gongo kafariki mtaani kwetu. Nilistuka kusikia jina lake likitajwa, nilipoamua kufanya udadisi sana nikajagundua hadi manjagu walikuwa wakifika kwake kunywa gongo!

Kinachoendelea kuhusu Corona hapa Tz ni kitu kama hicho.
 
Hakuna lolote na hadithi kama hizi tumezizoea.

Vifo na ugonjwa havifichiki kama gongo na ndiyo maana umesema mama Muuza alipokufa ukasikia kuhusu kifo chake na mengi yamhusuyo yeye.

Jiulize au waulize wenzio wamefiwa na watu wangapi kwa COVID-19? Au wamelazwa hospital ndugu na majirani zake wangapi toka huu ugonjwa uingie nchini?

Mnachotaka kusikia kikitokea hakijatokea na hakitokei kama mnavyotaka, acheni roho ya kupenda majanga na mauti.
 
Covid-19 bado ipo sana tu na haijapungua, ni rehema za Mwenyezi Mungu kwamba haitudhuru sana. Ni mchezo wa akili tu viongozi wa taifa letu wametuchezesha, na kwa hulka ya waafrica sisi ni rahisi sana kulaghaiwa kwa kupewa habari njema (mfano mzuri ni watu wanaofurika makanisani kuombewa, na hata kama ushahidi unaonesha kuwa wengi hawafanikiwi). Miezi miwili iliyopita usipovaa barakoa watu wanakuogopa utawaambikukiza corona virus, lakini sasa hivi ukivaa barakoa watu wanakuogopa wanadhani wewe ndo bado una covid-19.
 
Hahaaa hapo ulipomalizia umenichekesha..
 
Serikali huenda kuna kitu wanakijua kuhusu huo ugonjwa so wakaamua kucheza na saikolojia za watu, huku wakihimiza tahadhari ikiwa kama njia ya kufanya chochote kitu mixer maombi na nyungu.

Kusema kinga duh! Napata hofu kidogo maana hao wazungu hula vyema Sana mazoezi n.k kushinda huku ambapo wengi wao kula nini huchaguliwa na maisha na si kuchagua!.. mi nahisi kuna namna nyengine zaidi ya hizi tunazoziona kuhusu huu ugonjwa.
Kinga za hao wazungu zipo chini sana
 
Korona iliona hiki kijiwe siyo, ikaamua tu kujiondokea....on a serious note, hiki kitu kinachoitwa korona kinaambatana na roho ya mauti ambayo inaathiri maeneo mbalimbali ya dunia kitofauti sana, ni jambo la kiroho zaidi na utaona kabisa limeingiza dunia kwenye nyakati mpya. Haya ni matukio yanayoashiria kukaribia kwa mwisho wa dunia na imeandikwa atakayevumilia hadi mwisho ndo ataokoka, ni nyakati za kuwa macho zaidi..
 
Serikali huenda kuna kitu wanakijua kuhusu huo ugonjwa so wakaamua kucheza na saikolojia za watu, huku wakihimiza tahadhari ikiwa kama njia ya kufanya chochote kitu mixer maombi na nyungu.

Kusema kinga duh! Napata hofu kidogo maana hao wazungu hula vyema Sana mazoezi n.k kushinda huku ambapo wengi wao kula nini huchaguliwa na maisha na si kuchagua!.. mi nahisi kuna namna nyengine zaidi ya hizi tunazoziona kuhusu huu ugonjwa.
Kula mabroiler na mapiza ndo kula vyema??? Watu hadi maharage wananunua ya kwenye kopo??
 
Serikali huenda kuna kitu wanakijua kuhusu huo ugonjwa so wakaamua kucheza na saikolojia za watu, huku wakihimiza tahadhari ikiwa kama njia ya kufanya chochote kitu mixer maombi na nyungu.

Kusema kinga duh! Napata hofu kidogo maana hao wazungu hula vyema Sana mazoezi n.k kushinda huku ambapo wengi wao kula nini huchaguliwa na maisha na si kuchagua!.. mi nahisi kuna namna nyengine zaidi ya hizi tunazoziona kuhusu huu ugonjwa.

Aliyekuambia wazungu wanakula vizuri ni nani? Kwa hiyo kula junk foods ndio kula vizuri. Kwa taarifa yako wewe unakule dagaa, maharage, dona etc inakula vizuri kuliko wao.
 
Hello JF,

Ningependa kujua out of curiosity,nini kimeiondoa corona Tanzania? Je, Nyungu ilisaidia? Watu kuhimizwa kula tangawizi na malimao?

Na watu wakachukulia serious kula tangawizi na malimao. Hivyo miili yao ikajijenga ku fight virus? Ama watu walichukulia serious kuosha mikono na kuvaa barakoa hivyo rate ya maambukizi ikapungua? Nini hasa kilichoiondoa Corona Tanzania?

Its good to know, ili janga liingine likija, we use the same strategies.

Viongozi wetu ni wacha Mungu, kumcha Mungu kunampa mtu maarifa. Viongozi wetu walifunuliwa hili mapena na Mwenyezi Mungu, na bila kuchelewa wakawahimiza watu wao kufanya maombi kimkakati (kumbuka walitoa siku tatu). Hakika maombi yana nguvu kuliko chochote.

Maandiko matakatifu yanasema, ukiwa na imani, unaweza kuomba mlima ung’oke mahala fulani na kwenda pengine, na ikawa hivyo; kwa Korona watu waliomba kwa imani, kila mtu na dhehebu lake, na Mungu ametusikia, akatuhurumia na kutuondolea gonjwa hili hatari. Sifa na utukufu viwe kwake aliye juu mbinguni.
 
Nauza kiwanja kigamboni Avic town kwa mbele bei ni kama bure nilinunua 4 mil Ina nauza chini na apo Nina shida documents za mauziano zipo ukubwa wa eneo miguu 27 kwa 22 pia ni mita400 kutoka barabara kuu, Kwann nauza Nina shida muhimu check me kama unahitaji 0652502236 hii ni watsap number ama nipigie 0787326227🙏
 
Kama kuficha takwimu za corona ndo DAWA ZA CORONA WAFICHE NA WAO WAPONE.
Kitendo tu Cha kuficha takwimu kikupe tu jibu kuwa corona ipo sana hapa na inatafuna watu.Corona haikuwa mkondo wa upepo kwamba inapita tu na ikishapita haigeuki nyuma.

Acha tuendelee kujitoa ufahamu Ila siku ikiguza penyewe tutaanza kuipa heshima yake

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Unatutosha ukimwi kwa kweli hiyo corona itaondoka na wazee wagonjwa
 
Mosi, ni kweli imeondoka au kupungua? Kwani mahabara za pale Mabibo, baada ya ile ya kupima wanyama, matunda na oil chafu za gari kufungwa, matokeo yakoje?
 
Back
Top Bottom