majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,706
- 5,111
Amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu. Sisi kama sisi hatungekuwepo hapa muda huu, ila tupo kwa kuwa tumemtumainia Mungu! Na kwa hali hii hatujikwezi kwamba sisi ni bora kulikuko wengine ila tunampa Mungu utukufu kwa kuwa ametuona udhaifu wetu na ametupigania. Hata hao waliokufa kwa corona sio kwamba wao sio bora kuliko sisi, tupo kwa neema ya Mungu tu. Tutumie nafasi hii kumshukuru na si kujiinua.