Nini hasa kimeondoa Corona Tanzania?

Nini hasa kimeondoa Corona Tanzania?

Corona ilipewa machaguo, mosi iishi nasi kwa utulivu pili iondoke yenyewe bila kufukuzwa.ikachagua option ya pili.
 
Mtaani kwako imetafuna wangapi mpaka leo?
Sio lazima mtaani kwangu iwe imetafuna watu ndo corona isemwe inatafuna watu Hata huko marekani na Brazil misiba haipo Kila nyumba au Kila mtaa. Kuna vitaa mingine misiba ya corona haijawahi kutokea
 
Manufaa ya kisiasa unadhani Magufuli hataki kuishi ale mema ya nchi awamu ijayo?Majaliwa hataki,kundi la mawaziri wa CCM wao hawataki baada ya miaka 5 waje tena kupokea kiinua mgongo 240Mill,ulimuona pale Mkapa,Mwinyi na uzee wake yupo above 90 tena na mkewe,Dk Shein,White mzee wa Msoga wote wanakula mema ya nchi unafikiri kungekuwa na hatari ya afya zao jinsi tunavyoaminishwa wangekubali kujifungia mule ukumbini washangilie kiasi kile na wajumbe zaidi ya 1500 wasiokuwa na barakoa hata mmoja hali ya kuwa tunaaminishwa Corona inaambukizwa hasa kwenye mrundikano wa watu.

Sense ya kawaida tu inakataa fikiri vizuri!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sababu ya kuandikia mate, mda utaongeza vizuri zaidi kama ilivyopangwa kule Madagascar
 
kabla ya ujio wa ukristo na uislam wazee wetu walikua na imani zao, walipokua wakipatwa majanga makubwa daima walifanya maombi kwa imani zao majanga yalitoweka na maisha yakaendelea.

hata sisi kupitia imani zetu mungu tunaemwamini ametuondoshea corona coz yeye anauwezo na nguvu zaidi kuliko akili za madaktari, ambao hutatua matatizo yaliyo katika uwezo wa akili bt mungu hutatua hata yaliyo nje ya uwezo wa akili zetu.

nb: wenzetu waliwatumainia zaidi madaktari ambao ufaham wao unaukomo bt sisi tulimtumainia zaidi mungu ambae ufaham wake hauna ukomo ndo maana vita tumeishinda kirahisi sana.

hebu jiulize hatukufunga nyumba za ibada hata pale corona iliposhika kasi unadhani kama mungu hajasaidia hali ya maambukizi ingekuwaje? tumtumainieni sana mungu ili tupate wepesi katika mambo magum.
Amina,Mungu ni msaada pekee tulio nao.
 
Hata USA hakuna corona ni maneno nampropaganda


Wambie waoneshe makabur wanayozika watu 1000 kila siku hakuna zaid kwa sasa kila kifo kwao ni covid
 
Kitendo tu cha kuficha takwimu kikupe tu jibu kuwa corona ipo sana hapa na inatafuna watu.Corona haikuwa mkondo wa upepo kwamba inapita tu na ikishapita haigeuki nyuma.

Acha tuendelee kujitoa ufahamu Ila siku ikiguza penyewe tutaanza kuipa heshima yake

Unamjua mtu mwenye corona wa karibu yako
 
Kwani kukitokea janga au ajali ni lazima watu wote wafe?.Wewe kama umenusurika haimaanishi hakuna aliyekufa.sio kila jambo linalompata mwingine nawewe likupate.Ugonjwa upo na wako wanaougua nakupona na wengine kufariki.Na kulingana na mazingira ya sasa yalivyo huwezi kujua au kupata taarifa ya kila kitu. na vile vile huwezi kusema kila kitu.Serikali imeshasema maisha yarudi kawaida sasa hapo ni akili zako.
Ipo wapi?.
Tofauti yetu na wao ni IPI?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Unamjua mtu mwenye corona wa karibu yako
ungemuuliza daily viongozi wa serikali wanafanya mikutano na watu hawana barakoa wala nini, je nani kashaambukizwa kati yao? au corona inabagua viongozi?
 
Korona bado ipo mkuu kama wadau wanavyosema tumeandaliwa kisaikolojia kuondoa hofu,pili kama Sister Sky Eclat alivyotoa factors juu huko zimetusaidia.

Tuendelee Kunawa kwa kutumia BARAKOA na Kuvaa SANTAIZA.
 
Kwani kukitokea janga au ajali ni lazima watu wote wafe?.Wewe kama umenusurika haimaanishi hakuna aliyekufa.sio kila jambo linalompata mwingine nawewe likupate.Ugonjwa upo na wako wanaougua nakupona na wengine kufariki.Na kulingana na mazingira ya sasa yalivyo huwezi kujua au kupata taarifa ya kila kitu. na vile vile huwezi kusema kila kitu.Serikali imeshasema maisha yarudi kawaida sasa hapo ni akili zako.
Wapiiiii?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom