pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Covid 19 bado ipo Tz na inakula watu sana bado, kinachoendelea ni hofu ya kutangaza kwani wakubwa hawataki!
Mh Dr mm naona namba moja hapo ungeanza na Mungu ameamua kutukinga kwa mkono wake halafu hayo mengne yanafuataKuna mtaalamu WHO alisema Afrika kinachotusaidia ni
1. Vyakula tunavyokula, vinatoka shamba moja kwa moja havisindikwi.
2. Maisha tunayoishi, tunafanya mazoezi bila kujua. Kutembea kwa miguu ni usafiri wa kawaida kwa wengi. Wengi hatuna excess fat.
3. Hewa safi, sehemu nyingi hazina industrial air pollution.
4. Hali ya joto.
Haya ndiyo yamesaidia tusiwe na maambukizi Kama ya Ulaya na Brazil.
Nenda kasome kwanza..kati ya jamii ambayo inakula vibayaa n wazungu..wale vyakula vyao vingi n processed..vya makopo..natural food kwao n gharama sana..ukipata nafasi ya kwenda huko jarbu kuchunguza supermarkets zao.Serikali huenda kuna kitu wanakijua kuhusu huo ugonjwa so wakaamua kucheza na saikolojia za watu, huku wakihimiza tahadhari ikiwa kama njia ya kufanya chochote kitu mixer maombi na nyungu.
Kusema kinga duh! Napata hofu kidogo maana hao wazungu hula vyema Sana mazoezi n.k kushinda huku ambapo wengi wao kula nini huchaguliwa na maisha na si kuchagua!.. mi nahisi kuna namna nyengine zaidi ya hizi tunazoziona kuhusu huu ugonjwa.
Na ww unandugu yako kafaUnataka akwambie ndio ili ukamfufue?.Acheni mizaha yakijinga na maisha ya watu.
Hayo bado yapo kwa sababu yalikuwepo before corona.Corona imeisha ila matatizo ya upumuaji bado yapo so chukua tahadhari.
Mkuu mie nimefiwa na mtu wangu wa karibu mwaka jana kwa malaria, ila hilo halijanifanya nianze kulalia chandarua au kupuliza dawa ya mbu chumbani kwangu. Hayo sikuwa nikiyafanya na hata baada ya kukutana na kifo cha malaria kwenye familia bado naendelea kutokuyafanya.Siku ikibisha hodi kwenye familia yenu ndo utaielewa
Wewe umejuaje na una lipi la kuonesha kuwa corona inakula sana watu tofauti na wanaoona kuwa corona imepungua au imekwisha kabisa?Covid 19 bado ipo Tz na inakula watu sana bado, kinachoendelea ni hofu ya kutangaza kwani wakubwa hawataki!
Mkuu Magu anashikana mikono na watu.Magu kiboko. Kawaamuru watz waondoe hofu, na wameiondoa. Kuna vigogo walikuwa wanavaa barakoa, nakumbuka kuna hafla moja Dom, mama Kikwete alitinga na barakoa Magu akiwepo. Magu alipoanza kuwasengenya wavaa barakoa live, waliacha gafla.
Kutokuvaa barakoa hadharani kwa mama Samia, waziri mkuu, akina Zungu, na vigogo wengine kumewaaminisha watu kuwa ugonjwa umeisha. japo Magu bado hashikai mikono na watu na anajaribu kukaa kwa social distance kwenye hadhara.
Kenye hawana chakula cha kutoshaKenya wanakula nini?