Kbd
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,260
- 450
Mke akaanze kumfulia mama mke for the rest of her life? Huyo mama hana mabinti?
Ndio kila mtu anampenda mama yake, lakini kama anahitaji starehe kiasi hicho ili amlipe fadhila kwa matunzo, amwekee na maid wake.
Eti mke hajasoma, ana div 4 low, si bora kuoa Nkurumah au mdigirii. Ukishaamua kuishi na mtu, kumchamba hadharani ni kujivunjia heshima mwenyewe. Huwezi ishi na mtu unayemdharau sana, lazima maisha yawe magumu.
Afu sijui kwa nini wanamme wanapenda sana ku-refer elimu za wanawake zao. Akiwa hajasoma utasikia haya, askiwa kasoma utasikia, anajifanya na ile phd yake.
Yaani hata mi nimeshangaa sana.......yeye kama unauwezo huo kwa nini asinunue washing machine na kuweka maid kwa ajili ya mama yake. Yaani mdada wa watu ahangaike na watoto na mume na mama ambaye sio kama amekuja kutembea bali yuko hapo maisha yake yote...mweee. Muwe na huruma na watoto wa wenzenu......kwani yeye hachoki???!! Kumbe mnao watu wenye elimu ndogo ili mpate urahisi wa kuwatumikisha na kuwatumia mtakanvyo....lol