s.crony
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 1,286
- 465
Kusema ukweli napenda ndo za mikataba.
Dah Hivi bongo tuna hii kitu?hata mm ni muumini wake sio mkataba wa muungano tu!
Kusema ukweli napenda ndo za mikataba.
Habari za asubuhi wadau wa jukwaa hili.
Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.
Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu.
Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.
Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu.
Wazazi wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakati mamangu ni mid sixty's.
Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali.
Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote.
Nitasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa...
Hahahaha kweli mkuu huyo alipata the right person sasa jiulize je babako ni the right person kwa mkewe .Uliwahi kumuuliza wakati yeye anataka kuoa alizingatia mambo gani ktk kutafuta mwenza . Mara zote unachojiwazia ndicho kinachokutokea maishani kama ambavyo wengine huwaza kuwa wao ni fukara na haitawezekana kutoka ki maisha. Jua kuwa mara nyingi utetezi wa upande mmoja huwa haufai kuufanyia conclusion ni vema ukapata na mawazo ya mama juu ya mumewe.Hongera sana I think ulipata right person
Huwa najiuliza ni kwa nini wanawake mnapenda sana ndoa sijawahi kupata jibu sahihi.Mmh hivi mbona mnaiongelea ndoa negatively mmeambiwa koseeni kujenga!! Aaagh mtuwache tunaoelekea kwenye ndoa!!
Huwa najiuliza ni kwa nini wanawake mnapenda sana ndoa sijawahi kupata jibu sahihi.
Kila anachosema baba kipo sawa?...wot if yeye ndio analeta mifarakano kwny ndoa?
It means hata baba yake an get an kua shoga na yeye angetamani duuu(am sorry for the language ila ts boring kumuita MTU kama huyu mwanaume)
kwani wanaume hampendi?
Mie mkristo, vipi nitakupata?? Au ulitegesha kwa Nokia tu?
Si wanawake hawana maana kwako,tafuta mgomba uzae NAO!
Ndoa mbona nzuri tu ila kama ukimpata mwenye mahitaji ya ndoa i.e mke bora na si bora mke.Nimeoa sasa ni mwaka wa 3 furessssh kabisa ingawa kutopata mtoto mpaka sasa kunaninyong'onyesha sana mpakana nakinai tendo.
Kwani wewe ina maana hujaona watu wanazaa na watoto bila kuoa