Ningejua nisingeoa maishani mwangu

Ningejua nisingeoa maishani mwangu

Umetumia sample ndogo mno kufikia maamuzi makubwa ya maisha. Hebu jaribu kutafuta na wazee wengine wenye umri wa baba yako uwaulize kama nao wana mtazamo huohuo kuhusu ndoa. Lakini cha muhimu ni kujua kuwa kila mtu ana mfumo wake wa maisha na siyo lazima na wewe upate majuto kama aliyopata baba yako kwenye maisha ya ndoa yako kwani wewe na baba yako ni wat wawili tofauti.
 
Mhh i hate loneliness kwa kweli..nikiwaza kuzeeka sina a family of my own,hapana aisee,tuzinguane tu ,family is so important,tatizo ni over expectations mtu unadhani unaoa malaika kumbe binadamu wa kawaida tu ka wewe...

Exactly! That's my gal! Kula 5! A positive mind!
 
Brother, mbona sherehe ya mwenzio unaipikia wali? Ndoa ya baba yako si yako, na unafikiriaje kuibiwa kabla hujafungua duka? Si lazima kila anayeoa apate tatizo. Nunua gari KAMA LIKIHARIBIKA gereji zipo! Umenielewa?
 
Kila anachosema baba kipo sawa?...wot if yeye ndio analeta mifarakano kwny ndoa?

It doesn't matter kama yeye ndo analeta mtafaruko kwenye ndoa au sie lakni kila mtu kama kalelewa na wazazi wake nikazi sn kuendana kwa kila hali Namsapport mshua!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
pambana kiume wewee acha uoga!! kwanza kataa kabisa roho ya asili yani ukisema et hata baba alikua hivo, mtoto wa mjomba hivo, shangaz hivo dada hivo kaka hivo hata wewe utakua hivohvo pinga hiyo roho kabisa na uteme mate chini!
 
Asiyejua maana ya ndoa ndio anaweza kusema maneno hayo, pia ujue hakuna maisha ya kukopy.ila amini usiamini kuna big advantage katika kuoa kama utakua umejipanga,mind sisi wanaume tuna big role ya kuhakikisha ndoa inasimama hakuna wapo wanawake wenye shida lakini nina uhakika kwa wanawake walio tulia haanzi kuleta vurugu kama mwanaume hajamvuruga

Love that! Haya ni mawazo ya a REAL MAN! Love you million times!
 
Kwa maneno mengine anasema uwepo wenu duniani (wewe na dada yako) haujamtia faraja kiasi kwamba bora msingezaliwa.

What kind of a father anayesema maneno kama hayo kwa wanawe. No wonder ugomvi hauishi na mkewe.
 
I dont think that is what he meant both are my parents I have been with them almost all my life I do understand what he is going through sikutaka weka wazi everything coz kuna baadhi ya watu humu wanajua who I am.
 
Unaweza share nami sababu ya kujuta kwako

the issue is, my wife is not well educated ended in form four with low division. To me this was not an issue to regard,the only point to marry this woman was to have the children caring mother esp.in the aspect of moral and obidience,full time available and to take my part in comforting my mother by washing her clothes,cooking for her in time,to maximize her hospitality to her and the related duties. Unfortunately she has been coliding with her though my mother is still hardly working,i have tried to use even my psychological back ground to calm their disputes but she is stubborn,ignorant of decisions proposed and the worst thing is she despises my mum and other relatives tellin them that one day they will bend before asking for support, while neglecting their efforts invested on me. So many issues to narrate....... HOW CAN YOU NOT CONDEMN YOURSELF FOR MARRYING. MY MUM IS MY ICON OF SUCCESS.
 
Habari za asubuhi wadau wa jukwaa hili.
Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.
Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu.
Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.
Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu.
Wazazi wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakat mamangu ni mid sixty's.
Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali.
Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote. Ntasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa...

Sidhani kuwa baba yenu alikuwasahihi kutoa kauli kama hiyo mbele yenu!

Kama anaelewa tatizolinalosababisha ugomvi wa mara kwa mara baina yake na mama yenu angetafuta njianzuri ya kuwashauri ili msije mkaingia kwenye tatizo kama hilo.

Kinachonishangaza ni kuwapamoja na tofauti zao wameweza kudumu kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka arobaini!

Katika maisha tunakumbana nachangamoto mbali mbali. Cha msingi ni kutumia busara katika kuzikabili!
 
Ndugu yangu hizo changamoto zipo tu, asikudanganye mtu kabisaaaa ndio maana hata wao wameishi hio 40 yeras ya kwenye ndoa. Oa hakuna kitu kizuri kama ndoa, japo ni kigumu. Kuna siku pengine mzee wako aliumwa na aliemhudumia ni Lazima alikua ni Mama na wala sio nyie and vice versa kwahio usidanganywe. Kuwa na Partner haimaaniishi kuwa hamtatofautiana
 
I dont think that is what he meant both are my parents I have been with them almost all my life I do understand what he is going through sikutaka weka wazi everything coz kuna baadhi ya watu humu wanajua who I am.

Wewe ni product ya ndoa. Sasa kama amefikia kujuta na kusema mbele yako unategemea nini? Inaonekana unatake sides already, unayajua yote ya ndani ya wazazi wako?
 
Wewe ni product ya ndoa. Sasa kama amefikia kujuta na kusema mbele yako unategemea nini? Inaonekana unatake sides already, unayajua yote ya ndani ya wazazi wako?

Wish ningekwambia everything but anyway thanks kwa kuchangia mkuu point noted
 
Kukwepa changamoto ni mojawapo ya kufail, usiogope ndo maisha.
 
the issue is, my wife is not well educated ended in form four with low division. To me this was not an issue to regard,the only point to marry this woman was to have the children caring mother esp.in the aspect of moral and obidience,full time available and to take my part in comforting my mother by washing her clothes,cooking for her in time,to maximize her hospitality to her and the related duties. Unfortunately she has been coliding with her though my mother is still hardly working,i have tried to use even my psychological back ground to calm their disputes but she is stubborn,ignorant of decisions proposed and the worst thing is she despises my mum and other relatives tellin them that one day they will bend before asking for support, while neglecting their efforts invested on me. So many issues to narrate....... HOW CAN YOU NOT CONDEMN YOURSELF FOR MARRYING. MY MUM IS MY ICON OF SUCCESS.
Nimekusoma zaidi ya unavyofikiri ndicho ulichoandika!
 
Na wewe usiwe na over expectations, maisha yatakuwa rahisi, mwanaume ukimkubali kama alivyo hana life mtalisongesha bila tabu.

lakini umri wako si bado hujafika ule wa tia maji tia maji?

ah ku over expect nimejifunza si vizuri,u easily get dissapointed...
Hehhehe umri wa tia maji ndo upi jmn
 
Habari za asubuhi wadau wa jukwaa hili.
Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.
Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu.
Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.
Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu.
Wazazi wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakat mamangu ni mid sixty's.
Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali.
Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote. Ntasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa...
Jaribu uone kama utaweza. ..Watu wengi tu hua wanasema kama huyo baba yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom