Ningejua nisingeoa maishani mwangu

Ningejua nisingeoa maishani mwangu

Kwa maneno mengine anasema uwepo wenu duniani (wewe na dada yako) haujamtia faraja kiasi kwamba bora msingezaliwa.

What kind of a father anayesema maneno kama hayo kwa wanawe. No wonder ugomvi hauishi na mkewe.

Huyo mzee busara yake ina walakini. Watoto aliozaa na mkewe ndiyo faraja na furaha ya huo mtafaruku wake na mkewe kwa miaka yote hiyo.
 
Mkuu usiwe mvivu wa kufikiria,usipende kufuata kauli za wenzako eti kisa baba anajuta kuoa na wewe ujute maisha ayapo hivo ata Mwenyezi Mungu aliweka ndoa akiwa na maana yake,kaa utulize akili kwa kila jambo unalotaka kufanya
 
Kwanini usioe, Zaazaa wakati unafikiria kuoa una ngoma afu una dedi uone hao wanawake ulowazalisha watafata watoto. Ufinyu wa mawazo huo, funguka wewe
 
Yee aliongea kuhusu yaliyomtokea yeye......... kwa ni granted kwamba na we yatakutokea, ?.... Em swali dogo tuu kwa mfano shuleni kama baba yako alikua anafeli saaana, ni lazima na we ufeli saa hizi?
Think like a man!.....
Kuna Baadhi ya vitu ambavyo hua tunarithi kutoka kwa wazazi lakini sio kila kitu, Jaribu kuchanganua mambo kabla hujayaamini!!....
Una uhakika ghani kua siyo yeye aliekua ni tatizo, na siyo mama yako mzazi??
 
Wanawake wengine ni kichefuchefu kweli kweli,na ndo maana imeandikw kwa akili.hivyo kama ukiona huwezi kuishi na mwanamke ni bora kuacha!
 
black more
shiling 10000 kwa

pea serfin more
shiling 10000 kwa

pea orange more shiling 10000
kwa

pea gapi wekundu
shiling 10000 kwa

pea gold fish
shilingi10000 kwa pea.


na aina nyingine nyingi Mawasiliano 0712505049
picha utaziona whats app
maana nipo katika hatua za
mwisho kufungua website
 
Habari za asubuhi wadau wa jukwaa hili.

Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.

Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu.

Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.

Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu.

Wazazi wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakati mamangu ni mid sixty's.
Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali.

Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote.

Nitasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa...
Unataka kuzaa mtoto nje ya ndoa siyo! Halafu akalelewe kwenye box! Kama hutaki ndoa mtoto wa nini. Nyie ndo mnaongeza watoto mitaani.
 
kwani wanaume hampendi?
Wanaume ni 50-50, wapo wanaopenda, na vilevile wapo wasiopenda wala kutamani ndoa.
Lakini hadi leo hii sijawahi kuona wala kusikia mwanamke asiyependa ndoa, sababu hasa ni nini?
 
Wanaume ni 50-50, wapo wanaopenda, na vilevile wapo wasiopenda wala kutamani ndoa.
Lakini hadi leo hii sijawahi kuona wala kusikia mwanamke asiyependa ndoa, sababu hasa ni nini?

Nadhani tofauti ni upande wa kutafuta heshima. Wanaume sifa kuwa na mali. Wanawake heshima familia, mume na watoto.
 
Jamani sasa ili kuiboresha mmu na kuirudisha zama zake tujaribu kuweka filter kwenye ubongo, si kila kitu cha kuleta hapa, mambo mengine ukitumia sehemu ya akili ndogo tu aliyokupa Mungu unapata majibu wala huna haja ya kuleta hapa thread isiyo na kichwa wala miguu.

safiiiiii...asante kwa reminder
 
basi mtie mimba dadako akuzalie mtoto bila ndoa....
af una akili za kikolon km babako ku generalize some life aspects.
wise up n get a life man!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom