Ningejua nisingeoa maishani mwangu

Ningejua nisingeoa maishani mwangu

basi mtie mimba dadako akuzalie mtoto bila ndoa....
af una akili za kikolon km babako ku generalize some life aspects.
wise up n get a life man!

yamekuwa hayo tena mweee....
 
Baba yako na wewe ni nafsi 2 tofauti japo ya mtoto huweza kubeba laana au heri toka kwa mzazi
 
Mi kanuni yangu si kuoa ni kuishi nao kila ninaeshindwana nae anachukua 50 zake sitaki nijifunge na ndoa
 
Utasikia mengi mkuu! Yeye alikua na mwenzi kwa miaka 40 wewe utakua alone... Its easy to say!
 
Yeye anasema hivyo na Bado yupo na mkewe na ukute ndio Starehe yake akiona wamegombana wakukumbukana penzi linanogaje wewe Fanya yako kila mtu Ana maisha yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom