Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
I thought ni mimi pekee niliona hiyo! Yaani niolewe niwe mfanyakazi wa mama mkwe???
Ni bora mchumba anieleze kusudi la kunioa kabla sijakubali! Lol
Ndoa zingine ni majaribu!
Hapo sasa unakua umeolewa kusaidia kazi yaan housegirl na umeolewa na ukoo mzimaaa bora ubaki kwenu